Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
π₯°πππππβ€οΈ
Acha makasiriko, subirini uzi wenu wa kupendwa.Kila kiumbe kina stahili kupendwa. Tuondelee ufeminist wako
Na alikua na hiyari ya kutoa mimba usingezaliwaHuo ni uumbaji ndio mlivyoumbwa hivyo kubeba mimba so hakuna mpende bibi wala mpende mama.
Hakuna neno linanikera humu jf kama hilo feminist. Limewakaa sana so mtu haruhusiwi kumsifia mwanamke?Kila kiumbe kina stahili kupendwa. Tuondelee ufeminist wako
Washenzi na malaya ndio wanaotoa mimbaNa alikua na hiyari ya kutoa mimba usingezaliwa
Uzazi wa zamani ndio ulikuwa nusu kifo sasa hivi ukifungua geti kituo cha afya iko hapoHakika mkuu,tena akijifungua salama Shukuru Mungu....uzazi sikuhizi ni nusukifo
Kwa Sasa Maternal mortality rate ipo chini sana tofauti na miaka ya nyuma sasa hivi huduma za afya zimeboreshwa sana na ikitokea mjamzito amefariki hiyo kesi nzitoKuzaa kwenye imekuwa shida kaka, wanawake nawatoto wanapotea sana
Kuna rafiki yangu majuzi kafa yeye kapona mtoto...damu nyingi zilimmwagika akaagaKwa Sasa Maternal mortality rate ipo chini sana tofauti na miaka ya nyuma sasa hivi huduma za afya zimeboreshwa sana na ikitokea mjamzito amefariki hiyo kesi nzito
Atatokeza mwingine na thread ya kumtukuza baba mkuuMnamchukulia poa sana baba. Unaujauzito mwanaume ana hakikisha unakula vizuri unalala pazuri toto lenye afya linazaliwa linasomeshwa halafu eti baadae linasema nani kama mama. Unakuta jitu zima lenye ndevu linasema nani kama mama wakati limelelewa na wazazi wote wawili . Wazazi wote ni sawa.