Miezi 9 si mchezo

Miezi 9 si mchezo

Kwa Sasa Maternal mortality rate ipo chini sana tofauti na miaka ya nyuma sasa hivi huduma za afya zimeboreshwa sana na ikitokea mjamzito amefariki hiyo kesi nzito
Kuna rafiki yangu majuzi kafa yeye kapona mtoto...damu nyingi zilimmwagika akaaga
 
Mnamchukulia poa sana baba. Unaujauzito mwanaume ana hakikisha unakula vizuri unalala pazuri toto lenye afya linazaliwa linasomeshwa halafu eti baadae linasema nani kama mama. Unakuta jitu zima lenye ndevu linasema nani kama mama wakati limelelewa na wazazi wote wawili . Wazazi wote ni sawa.
 
Atatokeza mwingine na thread ya kumtukuza baba mkuu
 
Back
Top Bottom