Miezi 9 si mchezo

Miezi 9 si mchezo

UPUMBAVU MTUPU

Hizi propaganda za kumpaisha mwanamke na kumsahau mwanaume huo ni ushenzi, mtoto hazaliwi bila jitihada za baba, baba ndie Mtoaji wa Nguvu za uzao, nguvu ambazo hutunzwa tu ktk tumbo la mwanamke, hivyo basi wababa wapewe heshima kama mnayowapa hao wanawake.

Huwa nawaona makolo sana wanaosherekea siku ya mama na kumsahau baba, hawa wote ni washenzi, kamwe usiugawe upendo wako kwa mzazi mmoja, labda kama ulilelewa na single mother, or otherwise wababa waheshimike.

Hizo movement zenu za kishenzi za kuwapaisha wazazi wa kike mkome kabisa huo ni utoto na upumbavu, ndiomaana mnapishana na baraka sababu ya kuwasahau baba zenu na kuwakumbatia wamama.

Baba ndie anaetoa baraka na sio mama, mama hatoi baraka hiyo haipo hata kiimani, ndiomaana hata ktk imani mnajifunza jinsi gan wazazi wa kiume walikuwa wakigawa baraka kabla ya kufariki(mfano ibrahimu, akina isaka n.k) na wengineo.

Baba ndiye mwenye funguo zako za mafanikio, ukimdharau unayadharau maisha yako, Baba ndye Mungu wako hapa dunian then anafuata Mama, acheni kufuata utandawazi unawaharibu mnapishana na mafanikio kwa kufuata mikumbo ya washenzi walioanzisha hizo movements za kumuonea huruma mwanamke na kumsahau baba.

Ukweli mchungu
Usiumie na kujiangaisha bure mkuu,anzisha thread ya kuwasifu wanaume....mbona rahisi.....Hivi mama ako anajua kuwa humpendi kias hicho,eti ndugu?
 
Watoto wa kike wakishajifungua huwa wanatoa kauli kama hizi sijui kabla ya hapo walikuwa wanawachukuliaje mama zao
Mama zetu tunawapenda hata kabla ya kujua kama wanapitiaga changamoto za uzazi
Ubarikiwe mno... mengine Sina nyongeza mkuu
 
Meldah Pellaiah mbona sisi wanaume tunabeba uzito wa korodani maisha yetu yote na hatulalamiki, nyie ujauzito wa miezi 9 tu kelele nyingi..

Infact kubeba ujauzito hakuwafanyu muwe special, ila inaonesha tu kuwa viungo vyenu vya uzazi vinafanya kazi ipasavyo
🤣🤣🤣Imebidi nicheke tu
 
UPUMBAVU MTUPU

Hizi propaganda za kumpaisha mwanamke na kumsahau mwanaume huo ni ushenzi, mtoto hazaliwi bila jitihada za baba, baba ndie Mtoaji wa Nguvu za uzao, nguvu ambazo hutunzwa tu ktk tumbo la mwanamke, hivyo basi wababa wapewe heshima kama mnayowapa hao wanawake.

Huwa nawaona makolo sana wanaosherekea siku ya mama na kumsahau baba, hawa wote ni washenzi, kamwe usiugawe upendo wako kwa mzazi mmoja, labda kama ulilelewa na single mother, or otherwise wababa waheshimike.

Hizo movement zenu za kishenzi za kuwapaisha wazazi wa kike mkome kabisa huo ni utoto na upumbavu, ndiomaana mnapishana na baraka sababu ya kuwasahau baba zenu na kuwakumbatia wamama.

Baba ndie anaetoa baraka na sio mama, mama hatoi baraka hiyo haipo hata kiimani, ndiomaana hata ktk imani mnajifunza jinsi gan wazazi wa kiume walikuwa wakigawa baraka kabla ya kufariki(mfano ibrahimu, akina isaka n.k) na wengineo.

Baba ndiye mwenye funguo zako za mafanikio, ukimdharau unayadharau maisha yako, Baba ndye Mungu wako hapa dunian then anafuata Mama, acheni kufuata utandawazi unawaharibu mnapishana na mafanikio kwa kufuata mikumbo ya washenzi walioanzisha hizo movements za kumuonea huruma mwanamke na kumsahau baba.

Ukweli mchungu
😂Jamani kuna father's day every third Sunday of June!!

Makasiriko ni mengi!!
 
Back
Top Bottom