Miezi mitatu kabla ya kuandamana Wenyeviti wa vijiji 80 vya Ngorongoro walikwenda kumsihi RC Makonda awarudishie huduma za kijamii

Miezi mitatu kabla ya kuandamana Wenyeviti wa vijiji 80 vya Ngorongoro walikwenda kumsihi RC Makonda awarudishie huduma za kijamii

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
Wamaasai waliibembeleza sana serikali kabla hawajaamua kuandamana.

Hapa chini kuna video ya wenyeviti wa vijiji waliokwenda kumuomba RC Makonda awarudishie huduma za kijamii katika maeneo yao.

Bila shaka viongozi hao wa wananchi hawakusikilizwa, na matokeo yake ni maandamano makubwa tuliyoyashuhudia.

Serikali yetu na CCM wanawachukulia Watanzania kama makondoo wasioweza kusimamia haki zao.

Soma Pia: Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

Fuatilia video hii hapa chini.

..Wamaasai kabla kuandamana wenyeviti wa vijiji waliokwenda kumuomba RC Makonda awarudishie huduma za kijamii ktk maeneo yao hawakusikilizwa, na matokeo yake ni maandamano makubwa tuliyoyashuhudia.
Rais ni msikivu amewasikiliza, Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni, Rais Samia ni Msikivu, Apewe Maua Yake! Vipi Serikali Yake, Bunge na Mahakama, Ni Wasikivu? Kama Sio Inamanisha... ila serikali yake sio sikivu kabisa!. Nimeshauri waliotufikisha hapa kwenye hili la Ngorongoro wawajibishwe Ili Kupata Maendeleo ya Kweli, Je Watanzania Tujifunze Kuukubali Ukweli wa Tatizo, Ufumbuzi wa Tatizo au Tuendelee na Funika Kombe Mwanaharamu Apite?..
P
 
Makonda alikuwa likizo

1000012512.jpg
 
..Wamaasai waliibembeleza sana serikali kabla hawajaamua kuandamana.

..hapa chini kuna video ya wenyeviti wa vijiji waliokwenda kumuomba RC Makonda awarudishie huduma za kijamii ktk maeneo yao.

..bila shaka viongozi hao wa wananchi hawakusikilizwa, na matokeo yake ni maandamano makubwa tuliyoyashuhudia.

..serikali yetu na CCM wanawachukulia Watanzania kama makondoo wasioweza kusimamia haki zao.

..fuatilia video hii hapa chini.

View: https://www.youtube.com/watch?v=19CFClHgdCw

bila shaka viongozi hao wa wananchi hawakusikilizwa, na matokeo yake ni maandamano makubwa tuliyoyashuhudia.📌🔨
 
Daaa, yaani hapo juu Joka Kuu kaandika kwa unadharia sana alichokiwakilisha wewe umeona ni nafasi nzuri kuweka uchawa wako. Siku hizi watu hata haya hawana! Shameful
 
Daaa, yaani hapo juu Joka Kuu kaandika kwa unadharia sana alichokiwakilisha wewe umeona ni nafasi nzuri kuweka uchawa wako. Siku hizi watu hata haya hawana! Shameful
Ukinyooshewa kidole cha kitu ambacho sicho japo unaumia ila unafarijika kwasababu unajijua jinsi ulivyo. Kitendo cha kunidhania mimi ni chawa, kinaniuma ila nafarijika kwasababu najijua mimi sio chawa!.
P
 
Acha mambo ya uchawa Pascal, rais kawapa tabu watu wa Ngorongoro kwa miaka yote mitatu aliyoko madarakani leo ndo unaona kafanya la maana?.
Huwezi kutengeneza tatizo na kulipoza kisha ukataka uonekane umefanta la maana

Acha uchawa, Uchawa uzeeni unapelekea mtu kuwa mchawi
 
Kiukweli kabisa uwezo wa to read in between the lines wa wengi wetu humu ni limited hivyo mnaniona mimi kama chawa!. Mimi sio chawa, sijawahigi kuwa chawa na sitakuja kuwa chawa!.
P
 
Wakati anawaaagiza wafute vile vijiji Alikuwa amevaaa ile sura ya Chura kiziwi??
Wewe unadhani Mchengerwa Aliamka tu akaamua kufuta vijiji vyote na kuzuia huduma za kijamiii?
Ni maagizo ya huyo mama yenu, maji yalipofika shingoni akajirudi,
Hiii nchi tuendeleee kujitathimini na kujipanga ipo siku CCM, itaondoka.
 
Mwenye ushuhuda kuwa Huduma zote muhimu za kibinaadamu zimerudishwa huko Ngorongoro aweke hapa mezani
 
Kiukweli kabisa uwezo wa to read in between the lines wa wengi wetu humu ni limited hivyo mnaniona mimi kama chawa!. Mimi sio chawa, sijawahigi kuwa chawa na sitakuja kuwa chawa!.
P

Kama ulitaka kuwa sarcastic basi code umeisuka vibaya

Lakini tusomeje between the lines wakati "code" zako siku hizi hazibadilikibadiliki ziko pro mfumo zaidi?

Sisi tunaangalia trend
 
Mtu mwenyewe ata kuongea Kiswahili hajui sasa analalamika nini.

Angeketewa afisa uhamiaji ukute hata sio mtanzania.
 
Hakika ni msikivu ila je ni Nani alizuia hizo Huduma? What if huyo msikivu ndio huyo huyo "msikivu"?? MUNGU atusaidie
 
Mzee unatafuta teuzi? Hivi kweli watuu wanaweza kunyimwa huduma za jamii bila Rais kuhusika kwa nchi yetu hii? Samia sio msikivu, amebanwa imebidi a retreat. Hana usikivu na nia ovu bado ipo palepalle....
Hivi Samia akitoka leo na kukemea utekaji utasema watu wa chini yake wawajibiswe?
 
Back
Top Bottom