Rais ni msikivu amewasikiliza, Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni, Rais Samia ni Msikivu, Apewe Maua Yake! Vipi Serikali Yake, Bunge na Mahakama, Ni Wasikivu? Kama Sio Inamanisha... ila serikali yake sio sikivu kabisa!. Nimeshauri waliotufikisha hapa kwenye hili la Ngorongoro wawajibishwe Ili Kupata Maendeleo ya Kweli, Je Watanzania Tujifunze Kuukubali Ukweli wa Tatizo, Ufumbuzi wa Tatizo au Tuendelee na Funika Kombe Mwanaharamu Apite?....Wamaasai kabla kuandamana wenyeviti wa vijiji waliokwenda kumuomba RC Makonda awarudishie huduma za kijamii ktk maeneo yao hawakusikilizwa, na matokeo yake ni maandamano makubwa tuliyoyashuhudia.
bila shaka viongozi hao wa wananchi hawakusikilizwa, na matokeo yake ni maandamano makubwa tuliyoyashuhudia.📌🔨..Wamaasai waliibembeleza sana serikali kabla hawajaamua kuandamana.
..hapa chini kuna video ya wenyeviti wa vijiji waliokwenda kumuomba RC Makonda awarudishie huduma za kijamii ktk maeneo yao.
..bila shaka viongozi hao wa wananchi hawakusikilizwa, na matokeo yake ni maandamano makubwa tuliyoyashuhudia.
..serikali yetu na CCM wanawachukulia Watanzania kama makondoo wasioweza kusimamia haki zao.
..fuatilia video hii hapa chini.
View: https://www.youtube.com/watch?v=19CFClHgdCw
Yaleteni mwakani pia kipindi cha uchaguzi mchukue nchibila shaka viongozi hao wa wananchi hawakusikilizwa, na matokeo yake ni maandamano makubwa tuliyoyashuhudia.📌🔨
Daaa, yaani hapo juu Joka Kuu kaandika kwa unadharia sana alichokiwakilisha wewe umeona ni nafasi nzuri kuweka uchawa wako. Siku hizi watu hata haya hawana! ShamefulRais ni msikivu amewasikiliza, Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni, Rais Samia ni Msikivu, Apewe Maua Yake! Vipi Serikali Yake, Bunge na Mahakama, Ni Wasikivu? Kama Sio Inamanisha... ila serikali yake sio sikivu kabisa!. Nimeshauri waliotufikisha hapa kwenye hili la Ngorongoro wawajibishwe Ili Kupata Maendeleo ya Kweli, Je Watanzania Tujifunze Kuukubali Ukweli wa Tatizo, Ufumbuzi wa Tatizo au Tuendelee na Funika Kombe Mwanaharamu Apite?..
P
Ukinyooshewa kidole cha kitu ambacho sicho japo unaumia ila unafarijika kwasababu unajijua jinsi ulivyo. Kitendo cha kunidhania mimi ni chawa, kinaniuma ila nafarijika kwasababu najijua mimi sio chawa!.Daaa, yaani hapo juu Joka Kuu kaandika kwa unadharia sana alichokiwakilisha wewe umeona ni nafasi nzuri kuweka uchawa wako. Siku hizi watu hata haya hawana! Shameful
Acha mambo ya uchawa Pascal, rais kawapa tabu watu wa Ngorongoro kwa miaka yote mitatu aliyoko madarakani leo ndo unaona kafanya la maana?.Rais ni msikivu amewasikiliza, Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni, Rais Samia ni Msikivu, Apewe Maua Yake! Vipi Serikali Yake, Bunge na Mahakama, Ni Wasikivu? Kama Sio Inamanisha... ila serikali yake sio sikivu kabisa!. Nimeshauri waliotufikisha hapa kwenye hili la Ngorongoro wawajibishwe Ili Kupata Maendeleo ya Kweli, Je Watanzania Tujifunze Kuukubali Ukweli wa Tatizo, Ufumbuzi wa Tatizo au Tuendelee na Funika Kombe Mwanaharamu Apite?..
P
Kiukweli kabisa uwezo wa to read in between the lines wa wengi wetu humu ni limited hivyo mnaniona mimi kama chawa!. Mimi sio chawa, sijawahigi kuwa chawa na sitakuja kuwa chawa!.Acha mambo ya uchawa Pascal, rais kawapa tabu watu wa Ngorongoro kwa miaka yote mitatu aliyoko madarakani leo ndo unaona kafanya la maana?.
Huwezi kutengeneza tatizo na kulipoza kisha ukataka uonekane umefanta la maana
Acha uchawa, Uchawa uzeeni unapelekea mtu kuwa mchawi
Wakati anawaaagiza wafute vile vijiji Alikuwa amevaaa ile sura ya Chura kiziwi??Rais ni msikivu amewasikiliza, Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni, Rais Samia ni Msikivu, Apewe Maua Yake! Vipi Serikali Yake, Bunge na Mahakama, Ni Wasikivu? Kama Sio Inamanisha... ila serikali yake sio sikivu kabisa!. Nimeshauri waliotufikisha hapa kwenye hili la Ngorongoro wawajibishwe Ili Kupata Maendeleo ya Kweli, Je Watanzania Tujifunze Kuukubali Ukweli wa Tatizo, Ufumbuzi wa Tatizo au Tuendelee na Funika Kombe Mwanaharamu Apite?..
P
Wakati anawaaagiza wafute vile vijiji Alikuwa amevaaa ile sura ya Chura kiziwi??
Wewe unadhani Mchengerwa Aliamka tu akaamua kufuta vijiji vyote na kuzuia huduma za kijamiii?
Ni maagizo ya huyo mama yenu, maji yalipofika shingoni akajirudi,
Hiii nchi tuendeleee kujitathimini na kujipanga ipo siku CCM, itaondoka.
Kiukweli kabisa uwezo wa to read in between the lines wa wengi wetu humu ni limited hivyo mnaniona mimi kama chawa!. Mimi sio chawa, sijawahigi kuwa chawa na sitakuja kuwa chawa!.
P
Kwahiyo anakwenda off na ofisi nzima!? 😛 😛Makonda alikuwa off kwenye shughuli za serikali msimsingizie
Hakika ni msikivu ila je ni Nani alizuia hizo Huduma? What if huyo msikivu ndio huyo huyo "msikivu"?? MUNGU atusaidieRais ni msikivu amewasikiliza, Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni, Rais Samia ni Msikivu, Apewe Maua Yake! Vipi Serikali Yake, Bunge na Mahakama, Ni Wasikivu? Kama Sio Inamanisha... ila serikali yake sio sikivu kabisa!. Nimeshauri waliotufikisha hapa kwenye hili la Ngorongoro wawajibishwe Ili Kupata Maendeleo ya Kweli, Je Watanzania Tujifunze Kuukubali Ukweli wa Tatizo, Ufumbuzi wa Tatizo au Tuendelee na Funika Kombe Mwanaharamu Apite?..
P
Mzee unatafuta teuzi? Hivi kweli watuu wanaweza kunyimwa huduma za jamii bila Rais kuhusika kwa nchi yetu hii? Samia sio msikivu, amebanwa imebidi a retreat. Hana usikivu na nia ovu bado ipo palepalle....Rais ni msikivu amewasikiliza, Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni, Rais Samia ni Msikivu, Apewe Maua Yake! Vipi Serikali Yake, Bunge na Mahakama, Ni Wasikivu? Kama Sio Inamanisha... ila serikali yake sio sikivu kabisa!. Nimeshauri waliotufikisha hapa kwenye hili la Ngorongoro wawajibishwe Ili Kupata Maendeleo ya Kweli, Je Watanzania Tujifunze Kuukubali Ukweli wa Tatizo, Ufumbuzi wa Tatizo au Tuendelee na Funika Kombe Mwanaharamu Apite?..
P