ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Makonda angekuwa Rais angewafyeka Masai wote huku akijiita mtetezi wa wanyonge. ππWamaasai waliibembeleza sana serikali kabla hawajaamua kuandamana.
Hapa chini kuna video ya wenyeviti wa vijiji waliokwenda kumuomba RC Makonda awarudishie huduma za kijamii katika maeneo yao.
Bila shaka viongozi hao wa wananchi hawakusikilizwa, na matokeo yake ni maandamano makubwa tuliyoyashuhudia.
Serikali yetu na CCM wanawachukulia Watanzania kama makondoo wasioweza kusimamia haki zao.
Soma Pia: Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro
Fuatilia video hii hapa chini.
Ku retreat ndio usikivu wenyewe.Zoezi la kuwahamisha Kwa hiari linaendelea huku Huduma zikiendelea.Mzee unatafuta teuzi? Hivi kweli watuu wanaweza kunyimwa huduma za jamii bila Rais kuhusika kwa nchi yetu hii? Samia sio msikivu, amebanwa imebidi a retreat. Hana usikivu na nia ovu bado ipo palepalle....
Hivi Samia akitoka leo na kukemea utekaji utasema watu wa chini yake wawajibiswe?
Angekuwa....sasa huyu rais wako ameua watoto na akina mama wangapi ngorongoro?Makonda angekuwa Rais angewafyeka Masai wote huku akijiita mtetezi wa wanyonge. ππ
Wangapi?Angekuwa....sasa huyu rais wako ameua watoto na akina mama wangapi ngorongoro?
Makonda alikuwa off kwenye shughuli za serikali msimsingizie
Wakati anawaaagiza wafute vile vijiji Alikuwa amevaaa ile sura ya Chura kiziwi??
Wewe unadhani Mchengerwa Aliamka tu akaamua kufuta vijiji vyote na kuzuia huduma za kijamiii?
Ni maagizo ya huyo mama yenu, maji yalipofika shingoni akajirudi,
Hiii nchi tuendeleee kujitathimini na kujipanga ipo siku CCM, itaondoka.
Genius PRais ni msikivu amewasikiliza, Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni, Rais Samia ni Msikivu, Apewe Maua Yake! Vipi Serikali Yake, Bunge na Mahakama, Ni Wasikivu? Kama Sio Inamanisha... ila serikali yake sio sikivu kabisa!. Nimeshauri waliotufikisha hapa kwenye hili la Ngorongoro wawajibishwe Ili Kupata Maendeleo ya Kweli, Je Watanzania Tujifunze Kuukubali Ukweli wa Tatizo, Ufumbuzi wa Tatizo au Tuendelee na Funika Kombe Mwanaharamu Apite?..
P
Hapa itakuwa ni kutaka kutafuta mbuzi wa kafara tu.ila serikali yake sio sikivu kabisa!. Nimeshauri waliotufikisha hapa kwenye hili la Ngorongoro wawajibishwe