Miezi miwili baada ya ndoa miss Tanzania afumaniwa, ala kichapo kizito

aisee lakini ni muhimu pia ... kuangalia aina ya mtu unayehitaji kuwa nae kwenye mahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mkuu unafikiri yeye hakuangalia. Kumjua mtu mnafiki na mkweli ni fumbo kubwa sana. Na hili wanaume tunapata tabu sana. Hujiulizi why vijana wengi siku hizi wanakwepa hili swala la kuingia kwenye ndoa? Wanajua kuwa ndoa ni janga la maisha. Ni sawa na kujitoa mhanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oa kwa ufahari mkubwa ila kama 6x6 ni 0 lazima usaidiwe tu,Wanawake wasikie hivyohivyo
Hata kma kweny 6x6 uko vizuri 100% na pesa ikifika muda ukachokwa lazima uchapiwe. Wanawake wasikie hivyo hivyo tu. Pia wanawake wanatofautiana sana mwingine ukipiga 1 anaridhika, mwingie 2 na mwingine 3 na wale wakongwe bila kutumia masaa 3 haridhiki.
Suala la kumridhisha mpenzi wangu lazima ujue anapenda style gani na sehemu gani za mwili zinampa ashiki. Ukishindwa hapa hata kama unapiga bao 22 zote ni bure
 
Inategemea .. inawezekana aliangalia au aliushia kuvutiwa na ukubwa wa makalio .kope za bandia high hills na Brazilian hair tu pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea .. inawezekana aliangalia au aliushia kuvutiwa na ukubwa wa makalio .kope za bandia high hills na Brazilian hair tu pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu niambie ni mwanamke gani ambaye hana hayo uliyoainisha ukiondoa wa vijijini? Niulize mimi kaka, ninajipuuzisha tu lakini moyo wangu unajua nini ninacho kwenye moyo. Wanawake wa sasa hivi ni janga. Hawana uvumilivu na pia wanataka kushindana. Ni shida kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa jamaa yangu uling'atwa na nyoka ..pole sana " wanawake wenye nidhamu utu na hekima wapo '...... ila uwepo wao unafichwa na wale wanawake waovu ambao ndio wengi kiasi ".........., hii imesababisha tafarani kwetu wanaume maana tumebeba ile fasihi ya samaki mmoja akioza ............

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakupa assignment oa mkuu ili nipate experience toka kwako. Ila binafsi hawa watu siwaamini hata kidogo. Ni kama vile maumivu ya kichwa huanza taratibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakupa assignment oa mkuu ili nipate experience toka kwako. Ila binafsi hawa watu siwaamini hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuoa kwangu hakuwezi kuwa reference ya kukufanya uamini kwamba wanawake wenye nafuu ya nidhamu.upendo na utu bado wapo "..... mimi pia ni binaadamu nina tamaa ...tamaa zangu zinaweza kunipatia msukumo utakao nipeleka kuoa mwanamke ambaye hana desturi njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha tuanze kumuombea maana yupo, hahahahha
u made my evening kwa kweli

unataka kuniambia wa mjini ni ngumu kupata waume wenye uelewa eeeeh

kikikikikkkkk
Ni nadra sana" kwa sababu wanaume wenye uelewa huwa Wana watumia kama chombo cha starehe ...... nitakupa mfano unamjua menina" -----umeshawahi kujiuliza kwanini baada ya kuolewa humuoni tena kwenye haya ma-spot light ..nadhani wamjua faraja nyalandu(kota), unamjua Nina,"..... hawa wote walikuwa ni madada wamjini ila walipokuja kupata wanaume wanaojielewa " wakawaambia wachague 1 maisha ya kujianika anika na kufake life styles au waachane na hayo na waishi kwenye uhalisia wao "............

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha tuanze kumuombea maana yupo, hahahahha
u made my evening kwa kweli

unataka kuniambia wa mjini ni ngumu kupata waume wenye uelewa eeeeh

kikikikikkkkk
Hahaa naona umecheka sana " Mpe pole huyo kaka Yako "....., but tusi muhukumu watu huwa wanabadilika .. na kinacho wafanya watu wabadilike ni mazingira ambao ndani yake huwa yana watu ambao wana wapatia mitazamo tofauti ..... so huwenda kaka yako ni mmoja ya watu walioletwa na mazingira ili waweze kumbadilisha huyo dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika umenena jambo, haya maisha ya kufake yamewakosti wengi

thanks mkuu
 
amina, hakika unajua kumtia moyo na kumponyesha mgonjwa aliekata tamaa

I will take your clip of advice and do same to my brother, nahisi itakuwa hivyo na Mungu awasaidie
 
Oa kwa ufahari mkubwa ila kama 6x6 ni 0 lazima usaidiwe tu,Wanawake wasikie hivyohivyo
Hahah wengi wanafikiri mwanamke ni kumlisha vizuri na kumpa akitakacho kama kula vizuri gari ya kutembelea etc basi ndo wamemaliza wanasahau kwamba kadiri mwanamke anavyotulia ndo anavyozidi kuwa mwepesi kushughulikia madhaifu anayoyaona kwa mwanaume wake na hufika mbali zaidi kuyafanyia kazi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Hawa watu nyota hasa waliopitia kwenye ulimbwende huwa hawaachi tamaa,ni shida sana kuwatosheleza vyote,KICHAPO NA NOTIhata ukiwanavyo,hawa kunguni sijui huwa wanafundwa nini huko kwenye makambi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…