mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahha nimejikuta nacheka mieHaha eti mwizi dahh " ...
Duhh kumbe " mume ni mchungaji !!? Sasa ilikuwaje mpaka akajichanganya kwa hawa madada wa mjini " .... jinga sana hilo jamaa "
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kaka yako ameoa dada wamjini mwambie ajiandae kufilisika tuhahahahha nimejikuta nacheka mie
hivi wadada wa mjini hawafai eeeh
uwiiiii nafwaaaaaaaaaaaaa
Kwani mkuu unafikiri yeye hakuangalia. Kumjua mtu mnafiki na mkweli ni fumbo kubwa sana. Na hili wanaume tunapata tabu sana. Hujiulizi why vijana wengi siku hizi wanakwepa hili swala la kuingia kwenye ndoa? Wanajua kuwa ndoa ni janga la maisha. Ni sawa na kujitoa mhanga.aisee lakini ni muhimu pia ... kuangalia aina ya mtu unayehitaji kuwa nae kwenye mahusiano
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kma kweny 6x6 uko vizuri 100% na pesa ikifika muda ukachokwa lazima uchapiwe. Wanawake wasikie hivyo hivyo tu. Pia wanawake wanatofautiana sana mwingine ukipiga 1 anaridhika, mwingie 2 na mwingine 3 na wale wakongwe bila kutumia masaa 3 haridhiki.Oa kwa ufahari mkubwa ila kama 6x6 ni 0 lazima usaidiwe tu,Wanawake wasikie hivyohivyo
Inategemea .. inawezekana aliangalia au aliushia kuvutiwa na ukubwa wa makalio .kope za bandia high hills na Brazilian hair tu pekeeKwani mkuu unafikiri yeye hakuangalia. Kumjua mtu mnafiki na mkweli ni fumbo kubwa sana. Na hili wanaume tunapata tabu sana. Hujiulizi why vijana wengi siku hizi wanakwepa hili swala la kuingia kwenye ndoa? Wanajua kuwa ndoa ni janga la maisha. Ni sawa na kujitoa mhanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu niambie ni mwanamke gani ambaye hana hayo uliyoainisha ukiondoa wa vijijini? Niulize mimi kaka, ninajipuuzisha tu lakini moyo wangu unajua nini ninacho kwenye moyo. Wanawake wa sasa hivi ni janga. Hawana uvumilivu na pia wanataka kushindana. Ni shida kakaInategemea .. inawezekana aliangalia au aliushia kuvutiwa na ukubwa wa makalio .kope za bandia high hills na Brazilian hair tu pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa jamaa yangu uling'atwa na nyoka ..pole sana " wanawake wenye nidhamu utu na hekima wapo '...... ila uwepo wao unafichwa na wale wanawake waovu ambao ndio wengi kiasi ".........., hii imesababisha tafarani kwetu wanaume maana tumebeba ile fasihi ya samaki mmoja akioza ............Hebu niambie ni mwanamke gani ambaye hana hayo uliyoainisha ukiondoa wa vijijini? Niulize mimi kaka, ninajipuuzisha tu lakini moyo wangu unajua nini ninacho kwenye moyo. Wanawake wa sasa hivi ni janga. Hawana uvumilivu na pia wanataka kushindana. Ni shida kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupa assignment oa mkuu ili nipate experience toka kwako. Ila binafsi hawa watu siwaamini hata kidogo. Ni kama vile maumivu ya kichwa huanza taratibuHahaa jamaa yangu uling'atwa na nyoka ..pole sana " wanawake wenye nidhamu utu na hekima wapo '...... ila uwepo wao unafichwa na wale wanawake waovu ambao ndio wengi kiasi ".........., hii imesababisha tafarani kwetu wanaume maana tumebeba ile fasihi ya samaki mmoja akioza ............
Sent using Jamii Forums mobile app
acha tuanze kumuombea maana yupo, hahahahha
Kuoa kwangu hakuwezi kuwa reference ya kukufanya uamini kwamba wanawake wenye nafuu ya nidhamu.upendo na utu bado wapo "..... mimi pia ni binaadamu nina tamaa ...tamaa zangu zinaweza kunipatia msukumo utakao nipeleka kuoa mwanamke ambaye hana desturi njemaNakupa assignment oa mkuu ili nipate experience toka kwako. Ila binafsi hawa watu siwaamini hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nadra sana" kwa sababu wanaume wenye uelewa huwa Wana watumia kama chombo cha starehe ...... nitakupa mfano unamjua menina" -----umeshawahi kujiuliza kwanini baada ya kuolewa humuoni tena kwenye haya ma-spot light ..nadhani wamjua faraja nyalandu(kota), unamjua Nina,"..... hawa wote walikuwa ni madada wamjini ila walipokuja kupata wanaume wanaojielewa " wakawaambia wachague 1 maisha ya kujianika anika na kufake life styles au waachane na hayo na waishi kwenye uhalisia wao "............acha tuanze kumuombea maana yupo, hahahahha
u made my evening kwa kweli
unataka kuniambia wa mjini ni ngumu kupata waume wenye uelewa eeeeh
kikikikikkkkk
Hahaa naona umecheka sana " Mpe pole huyo kaka Yako "....., but tusi muhukumu watu huwa wanabadilika .. na kinacho wafanya watu wabadilike ni mazingira ambao ndani yake huwa yana watu ambao wana wapatia mitazamo tofauti ..... so huwenda kaka yako ni mmoja ya watu walioletwa na mazingira ili waweze kumbadilisha huyo dadaacha tuanze kumuombea maana yupo, hahahahha
u made my evening kwa kweli
unataka kuniambia wa mjini ni ngumu kupata waume wenye uelewa eeeeh
kikikikikkkkk
Hakika umenena jambo, haya maisha ya kufake yamewakosti wengiNi nadra sana" kwa sababu wanaume wenye uelewa huwa Wana watumia kama chombo cha starehe ...... nitakupa mfano unamjua menina" -----umeshawahi kujiuliza kwanini baada ya kuolewa humuoni tena kwenye haya ma-spot light ..nadhani wamjua faraja nyalandu(kota), unamjua Nina,"..... hawa wote walikuwa ni madada wamjini ila walipokuja kupata wanaume wanaojielewa " wakawaambia wachague 1 maisha ya kujianika anika na kufake life styles au waachane na hayo na waishi kwenye uhalisia wao "............
Sent using Jamii Forums mobile app
amina, hakika unajua kumtia moyo na kumponyesha mgonjwa aliekata tamaaHahaa naona umecheka sana " Mpe pole huyo kaka Yako "....., but tusi muhukumu watu huwa wanabadilika .. na kinacho wafanya watu wabadilike ni mazingira ambao ndani yake huwa yana watu ambao wana wapatia mitazamo tofauti ..... so huwenda kaka yako ni mmoja ya watu walioletwa na mazingira ili waweze kumbadilisha huyo dada
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah wengi wanafikiri mwanamke ni kumlisha vizuri na kumpa akitakacho kama kula vizuri gari ya kutembelea etc basi ndo wamemaliza wanasahau kwamba kadiri mwanamke anavyotulia ndo anavyozidi kuwa mwepesi kushughulikia madhaifu anayoyaona kwa mwanaume wake na hufika mbali zaidi kuyafanyia kazi.Oa kwa ufahari mkubwa ila kama 6x6 ni 0 lazima usaidiwe tu,Wanawake wasikie hivyohivyo
[emoji23][emoji23]Acha kuulizia wake za watu, nyie ndio mmefanya Mchungaji amtoe manundu Bi Harusi
Nakusalim miss[emoji137]acha tuanze kumuombea maana yupo, hahahahha
u made my evening kwa kweli
unataka kuniambia wa mjini ni ngumu kupata waume wenye uelewa eeeeh
kikikikikkkkk