Miezi miwili baada ya ndoa miss Tanzania afumaniwa, ala kichapo kizito

Miezi miwili baada ya ndoa miss Tanzania afumaniwa, ala kichapo kizito

Jamaa ndoa yake changa ndio maana kaleta fujo, wakongwe wanapiga kimya kuna mizigo inakuwa ndio ishafanyiwa utatuzi juu kwa juu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Ngassa ninamfahamu, najifanyaga mara pasta na mwimbaji, mcheki fb na youtube, alioa kama miaka 3 iliyopita akamwacha mke wake binti mdogo sana kwa dharau.
Jamaa ndoa yake changa ndio maana kaleta fujo, wakongwe wanapiga kimya kuna mizigo inakuwa ndio ishafanyiwa utatuzi juu kwa juu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu nyota hasa waliopitia kwenye ulimbwende huwa hawaachi tamaa,ni shida sana kuwatosheleza vyote,KICHAPO NA NOTIhata ukiwanavyo,hawa kunguni sijui huwa wanafundwa nini huko kwenye makambi yao.
Inategemea .. inawezekana aliangalia au aliushia kuvutiwa na ukubwa wa makalio .kope za bandia high hills na Brazilian hair tu pekee

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah ..anaonyesha hivyo " mtu yeyote ambaye ni napepe mapepe huwa anapenda kutembea na madada wa mjini kwaajili ya kujipatia status "..... haswaa pale anapokuwa ameshika vijisent
huyu sidhani kama hata amewahi kushika pesa ya maana, nijuavyo anamiliki pkpk ya boxer na bado anapanga.
Ni mpenda sifa na kujionyesha kwingi sana.
Ingia fb utaona utoto mwingi afanyao.
Alijitahidi sana kumfanyia vitimbi vingi mkewe hadi wakaachana mapema mwaka jana, na kuja hapa jijini kuoa tena, awali alioa binti kule Mbeya, wakaishi Arusha na sasa kakimbilia hapa dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAhaa ...basi kashinidikana . So kwa hicho kipato alichonacho ndio alitaraji kuwa ataweza kumtuliza huyo mwanamke Former miss Tanzania aliye muoa !?...
huyu sidhani kama hata amewahi kushika pesa ya maana, nijuavyo anamiliki pkpk ya boxer na bado anapanga.
Ni mpenda sifa na kujionyesha kwingi sana.
Ingia fb utaona utoto mwingi afanyao.
Alijitahidi sana kumfanyia vitimbi vingi mkewe hadi wakaachana mapema mwaka jana, na kuja hapa jijini kuoa tena, awali alioa binti kule Mbeya, wakaishi Arusha na sasa kakimbilia hapa dar

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu sidhani kama hata amewahi kushika pesa ya maana, nijuavyo anamiliki pkpk ya boxer na bado anapanga.
Ni mpenda sifa na kujionyesha kwingi sana.
Ingia fb utaona utoto mwingi afanyao.
Alijitahidi sana kumfanyia vitimbi vingi mkewe hadi wakaachana mapema mwaka jana, na kuja hapa jijini kuoa tena, awali alioa binti kule Mbeya, wakaishi Arusha na sasa kakimbilia hapa dar

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Maana alipigiwa mbinja za kuitwa mwizi " kwa sababu mwanamke Anajua kuwa hana kitu "..... pia hii statement yako ndio imenipa mwanga sasa na kunifanya nipate jawabu la yeye kumpeleka mkewe hospital ya madona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom