Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 754
Bora ya wewe umeweka wazi umesikia yule jamaa alie kaa machimboni miaka 14 kurudi wife ana watoto 2 wa jamaa wa mitaani akatembeza rungu kwa watoto na kuwaua.
Ila hizi ndoa zina mambo, kuna mtu namfahamu mkewe ana mimba na jamaa anasema ile mimba siyo ya kwake!!! 🙂 Mimi napata kizunguzungu nikiwaangalia!