PreGE2025 Miezi sita ijayo CHAUMMA itarudi kwenye uhalisia wake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Project ya CHAUMMA sidhani kama itatoboa zaidi ya miezi sita ijayo.

Natabiri baada ya Uchaguzi Mkuu waliohamia Chaumma kwaajili ya kupata Ubunge hawatoamini macho yao baada ya kuukosa huo ubunge.

Wataanza kutoka Chaumma na kutangatanga kwingineko.

Siku zote muda ni mwalimu mzuri
 
Nawekea mkazo hapo
 
Ubunge wataupata vipi au washa negotiate dili na serikali ya chama tawala? --- maana ni ngumu wao kuachia ushindi wa kishindo kila jimbo
 
Unaota ndoto, utakufa wewe utaiacha cdm ikiwatumikia watz.
Wapo wengi waliokuwa na mawazo kama yako na wengine walijiapiza lakini leo hii walishazikwa na kusahaulika.
Imeishaanza kufa na baada ya miezi sita, Chadema kwishnei. Kama unaogopa hilo, basi anza kujiandaa kisaikolojia.
 
Project ya CHAUMMA sidhani kama itatoboa zaidi ya miezi sita ijayo.

Natabiri baada ya Uchaguzi Mkuu waliohamia Chaumma kwaajili ya kupata Ubunge hawatoamini macho yao baada ya kuukosa huo ubunge.

Wataanza kutoka Chaumma na kutangatanga kwingineko.

Siku zote muda ni mwalimu mzuri
Yani hao wote waliotoka CHADEMA wakajiunga CHAUMMA....ukiwaweka wote jumlisha na ccm na CHADEMA waweke JIWE....

*JIWE LINASHINDA SAA NNE ASUBUHI.
 
Ni chama kimeundwa upya cha ku justify uchaguzi mkuu, kitasambaratika kabla hata ya October. Ni sawa na kujenga nyumba bila msingi.
 
Nchi ingekuwa na Demokrasia, ingekuwa poa sana. Sasa watu wanashangilia CHADEMA imekufa, wakati mifumo yenyewe imeegemea upande mmoja. Mwenyekiti kapewa makesi makubwa huko, unakaa unajisifu kuwa chama kimekufa. Kama sio upumbavu, ni nini?
 
Project ya CHAUMMA sidhani kama itatoboa zaidi ya miezi sita ijayo.

Natabiri baada ya Uchaguzi Mkuu waliohamia Chaumma kwaajili ya kupata Ubunge hawatoamini macho yao baada ya kuukosa huo ubunge.

Wataanza kutoka Chaumma na kutangatanga kwingineko.

Siku zote muda ni mwalimu mzuri
Tunaanza count down
 
Mingi sana.. December mbali
 
✅
 
Back
Top Bottom