Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Nawekea mkazo hapoProject ya CHAUMMA sidhani kama itatoboa zaidi ya miezi sita ijayo.
Natabiri baada ya Uchaguzi Mkuu waliohamia Chaumma kwaajili ya kupata Ubunge hawatoamini macho yao baada ya kuukosa huo ubunge.
Wataanza kutoka Chaumma na kutangatanga kwingineko.
Siku zote muda ni mwalimu mzuri
Ubunge wataupata vipi au washa negotiate dili na serikali ya chama tawala? --- maana ni ngumu wao kuachia ushindi wa kishindo kila jimboProject ya CHAUMMA sidhani kama itatoboa zaidi ya miezi sita ijayo.
Natabiri baada ya Uchaguzi Mkuu waliohamia Chaumma kwaajili ya kupata Ubunge hawatoamini macho yao baada ya kuukosa huo ubunge.
Wataanza kutoka Chaumma na kutangatanga kwingineko.
Siku zote muda ni mwalimu mzuri
Unaota ndoto, utakufa wewe utaiacha cdm ikiwatumikia watz.Na miezi hiyo sita Chadema itakuwa iliishakufa kabisa..
Imeishaanza kufa na baada ya miezi sita, Chadema kwishnei. Kama unaogopa hilo, basi anza kujiandaa kisaikolojia.Unaota ndoto, utakufa wewe utaiacha cdm ikiwatumikia watz.
Wapo wengi waliokuwa na mawazo kama yako na wengine walijiapiza lakini leo hii walishazikwa na kusahaulika.
Yani hao wote waliotoka CHADEMA wakajiunga CHAUMMA....ukiwaweka wote jumlisha na ccm na CHADEMA waweke JIWE....Project ya CHAUMMA sidhani kama itatoboa zaidi ya miezi sita ijayo.
Natabiri baada ya Uchaguzi Mkuu waliohamia Chaumma kwaajili ya kupata Ubunge hawatoamini macho yao baada ya kuukosa huo ubunge.
Wataanza kutoka Chaumma na kutangatanga kwingineko.
Siku zote muda ni mwalimu mzuri
Tunaanza count downProject ya CHAUMMA sidhani kama itatoboa zaidi ya miezi sita ijayo.
Natabiri baada ya Uchaguzi Mkuu waliohamia Chaumma kwaajili ya kupata Ubunge hawatoamini macho yao baada ya kuukosa huo ubunge.
Wataanza kutoka Chaumma na kutangatanga kwingineko.
Siku zote muda ni mwalimu mzuri
Mingi sana.. December mbaliProject ya CHAUMMA sidhani kama itatoboa zaidi ya miezi sita ijayo.
Natabiri baada ya Uchaguzi Mkuu waliohamia Chaumma kwaajili ya kupata Ubunge hawatoamini macho yao baada ya kuukosa huo ubunge.
Wataanza kutoka Chaumma na kutangatanga kwingineko.
Siku zote muda ni mwalimu mzuri
Habari ya mwezi may mkuuMingi sana.. December mbali
✅Project ya CHAUMMA sidhani kama itatoboa zaidi ya miezi sita ijayo.