Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

Hapa ndipo utakapoons watu wanavyopongeza mambo ya kiharifu........ila zamani watu walikuwa wakiiba kwa kutumia akili kubwa sana kuliko saiz
Hongera mkuu kwa muendelezo wa simulizi nzuri kabisa,ukileta nyingine niite nami mkuu nishiriki mapema!!
Siku hizi akili zimezidi zaidi... Watu wame advance hawatumii nguvu tena wanatumia cyber theft tu... mtu kakaa kwake anaiba exim...
 
DAH,MKUU SIWEZI KUELEZA JINSI NAVYOBURUDIK NA CHAPISHO ZAKO HAPA JF,NAOMBA NAMI UWE UNANITAG KWA KILA CHAPISHO JIPYA
 

"Catena" ni neno la kiitalia na sio french Kama ulivyo ongea hapo juu lakin Maana yake Ni chain,na chain kwa french ni chaîne Kaka
 
"Catena" ni neno la kiitalia na sio french Kama ulivyo ongea hapo juu lakin Maana yake Ni chain,na chain kwa french ni chaîne Kaka
OK nashukuru!
Lakini umekosea sana kuquote Uzi wote huo, unasababisha usumbufu mkubwa sana kwa wanaotumia simu.. Ungenimention tu 'The bold' ningeona comment yako! Next time jitahidi kuepuka kuquote post ndefu kama hii inasababisha usumbufu mkubwa sana..
 
Naweza kusema Cooper bado yuko juu... Huyu alikamatwa akatoroka ila Cooper bado hata nyayo yake haikujulikana licha ya hivyo ata hela hazikuonekana... Zaidi ya hayo aliwashirikisha adi FBI lakini bado walichemka. Cooper ni hatari sana..
Ata mm mpaka sasa huwa najiuluza hiv huyo cooper alikuwa binadam kwel? Yaani akuonekana kabisa Dah!
 
The bold Ubarikiwe sana tu mkuu.
Simulizi lako NI zuri sana.Umakini wa kuelezea Kwa Lugha yetu pendwa ya Kiswahili kwa kweli unakipaji kikubwa.Wakati Naanza kuisoma sija pepesa macho maana nilikuwa sitaki iishe.Vile Vile nilihisi na waona na kuwasikia hawa wahalifu makini.
Nimejifunza ukiwa Na ndoto Au mpango ktk maisha Hata ukikejeliwa usigeuke nyuma.
Asante sana
 
The bold upo vizur kwenye usimualiaji, Lakin pia kikubwa unajua nini cha kusimulia. Mkuu hebu fanya niweze kupata uhondo zaidi kwa ku tag story nyingine.
 
Sijui utuwekee karatiba ka siku ambazo utakuwa unashusha huu ushushu maake kila mtu akisema umtag sijui ka utaweza kutukumbuka wote, Jukwaa langu hili nilikuwa nimeanza ka uzembe ka kutolitembelea mara kwa mara, all in all nimependa ur spirit, Nikiona haya matukio naona jinsi gani sisi tulivyolala. Nchi yetu kufanya matukio kama haya hata ikulu unaweza kuingia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…