Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

Shukrani sana Valentina..
Karibu sana!


Kule "Behind the Scene" tayari nimeweka sehemu ya 4, 5 & 6


Alafu nahisi kama Jana nimeongea na wewe?? [emoji3]
Yeah nimimi[emoji85]

Ngoja niitafute hiyo nyingine... Afu nina viporo vingi vya simulizi zako. Kwenye ile vipepeo ndo kwanza niko page ya10...
 
Next time ukspost kitu ingine nzuri kama hii usinisahau mkuu.
 
Hii hapa boss
@https://https-www-jamiiforums-com.0.freebasics.com/members/denis-fourplux.449534/?iorg_service_id_internal=925946837445621%3BAfoQsbifYH6nzd8h

denis fourplux
 
Huyu natorbartolo story yake inapatikana humu jf wakuu? Hongera sana the bold wewe ni mtu ulienifanya niipende sana jf siyo siri
 
Story nzuri sema huyu albert alitakiwa ajitathimini tangu tukio la kutaka kumuua raisi kugonga mwamba maana mpaka hapo alikua kesha shindwa matukio mengi muhimu, sema alimalizana na jaji vzr na kutoweka kwenye upepo wa macho yao
 
Albert Spaggiarri.




Alfred Spaggiari

[emoji117]mbona majina wawili kwa mtu mmoja, hii imekaa vp?
 
Back
Top Bottom