Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

Yeah nakumbuka ile 'vita' ya mwaja Jana hahaaha!! Aiseee..
Nashukuru sana Nifah kwa pongezi, that means alot, especially coming from you moja ya watu muhimu zaidi humu JamiiForum..
Asante sana Mkuu
Mkuu naomba the real first name of this professional pandit

Is he Alfred or Albert Spaggiari
 
The bold once again
Nimekomenti kabla ya kuisoma
Ngoja niisome kwanza then maswali yanafuatia
 
714937580550ef7a38138f2719150416.jpg
0ace990b0af4f8e3233b8aae4d6fd191.jpg
The bank job movie hiyo
Hapana Mkuu! Filamu ya 'The Bank Job' iko based on tukio la ujambazi lililofanyika jijini London, Uingereza mwaka 1971 katika benki ya Lloyds.

Hii niliyosimulia ilitokea jijini Nice, Ufaransa katika benki ya Société Générale.

Ni matukio mawili tofauti kabisa Mkuu..
 
Ahsante mkuu maana nilikuwa nakwama sehemu nyingine ulimtambulisha kama Albert nyingine Alfred...i got confussed[emoji1] [emoji1]
Pole sana Mkuu! Haya majina Albert na Alfred yana fanana sana.. Kwenye kuandika ni rahisi kuyachanganya
 
Waje kuiba na bongo hapa
Ila nimegundua matukio mengi ya wizi yanafanyika siku za mapumziko
 
Shukrani za pekee kwa Le Firago.
 
The bold thanks mkuu, nimeiwait hii story hadi jana saa 5 usiku nilikua nakutrack sikupati, excellent job again, keep it up!!!!!!
Swali: Vipi kuhusu wale jamaa watano walioondoka, baada ya kuona jamaa wamefanikiwa?

Nashukuru sana Mkuu!
Wale jamaa watano wa ukoo wa Mafia hawakuwahi kujitokeza tena na kusema chochote..
 
Back
Top Bottom