Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji41] wewe pia unatakiwaufanyiwe uchunguzi na ukamatwe mara moja, haiwekani storry zako ziwe na mrengo huu huu mmoja.Nashukuru sana kiongozi..
Sawa nimekuelewaMkuu tumia ustaarabu kidogo basi ku quote story yote kwa ka sentensi kamoja...
Kuna sehemu nimepata mushkeli kidogo kwa uwezo wa huyu jama... Pale alipowaambia team mates wake wasinywe kahawa na wahakikishe wanalala kwa masaa 10. Hapo jamaa alifikiri nini hasa juu ya hivi vitu viwili????
Ofcoz kwa sasa uhalifu umehamia kwenye mitandao zaidi lakini pia yapo matukio kama haya ya Spaggiari yaliyotokea miaka ya hivi karibuni. Mfano wale jamaa walioiba 'juzi juzi' tu hapa benki kuu ya Brazil nao walitumia njia hii ya kuchimba tunnel, pia wako watu wanajiita 'Pink Panthers' hawa ni kiboko kwa kuiba kwenye vault za kuhifadhi almasi na wanafanya matukio kila Mara mpaka kesho..Danny Cooper, Albert Spaggiari, Natorbartolo na Carl Gugasian... Hawa jamaa wote wamepiga matukio miaka ya tisini kurudi nyuma.... Hivi kwa karne yetu hii ni kwamba watu kama hawa wameisha au sasa ni cyber theft ndo imeshika kasi?? Na kama ni hivyo mbona hatusikii matukio makubwa ya aina hii???
Hahahahahaha!! Mkuu hujasoma simulizi iliyopita 'Geranimo EKIA', haikuhusu ujambazi..[emoji41] wewe pia unatakiwaufanyiwe uchunguzi na ukamatwe mara moja, haiwekani storry zako ziwe na mrengo huu huu mmoja.
Inawezekana ukawa gaidi.
[emoji120] ila asante kwa kutuletea hadithi murua.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nashukuru Mkuu..Ahsante kwa mara nyingine kimya kingi kina mshindo salute mkuu The bold
Asante sana..Mkuu nimekuelewa sana
Hahahah! Hakika unaweza kujikuta unampongeza badala ya kulalamika..Douh!!!! Ni hatari. Lakini unaweza ukaibiwa halafu ukajikuta ukimpongeza mwizi wako kwa akili alioitumia kukuibia
Movie bado Mkuu!Dah mkuu The Bold ahsante kwa uzi maridadi, story inasisimua kweli...vp hawajaitengenezea movie yake?