Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napendega Saaana Story zako hasa hile ya OSAMADuuuuuhh! Sio shushushu??
Shukrani Mkuu..Mkuu The bold shukran kwa kunitag, kama kawaida story zako huwa ziko very deep!!
Mkuu hukunitag lkn kwa bahati mbaya katika pitapita yangu humu asubuhi nikaiona ila nikawa busy nimekuja kuisoma usiku huu.Yeah nakumbuka ile 'vita' ya mwaja Jana hahaaha!! Aiseee..
Nashukuru sana Nifah kwa pongezi, that means alot, especially coming from you moja ya watu muhimu zaidi humu JamiiForum..
Asante sana Mkuu
Nimekutag Mkuu! Cheki post #2, sijajua kwanini hujapata notification..Mkuu hukunitag lkn kwa bahati mbaya katika pitapita yangu humu asubuhi nikaiona ila nikawa busy nimekuja kuisoma usiku huu.
Shukrani.
Ohh nimeona lkn nashangaa sijapata notification. ila Thank kwa simulizi nzuri kabisa. Mungu akubariki uweze kuleta nyengine watu tuzidi kujifunza.Nimekutag Mkuu! Cheki post #2, sijajua kwanini hujapata notification..
Hahahaha!! Usifanye hivyo mkuu utaniponza na mimiOhh nimeona lkn nashangaa sijapata notification. ila Thank kwa simulizi nzuri kabisa. Mungu akubariki uweze kuleta nyengine watu tuzidi kujifunza.
japo na mie niko kwenye harakati la kufanya tukio kubwa zaidi kupitia haya masimlizi ha ha ha
Shukrani Mkuu..Safi sana huwa napenda article zako.
[HASHTAG]#Thebold[/HASHTAG]
Shukrani Mkuu..Comred uko vizur sana mkuu wangu salute nyingi sana kwako. Huwa naburudika sana napopata hivi vitu vipya kwenye ubongo wangu toka kwako ujaali siku nyingi za kuishi na hekima nyingi sana.
Shukrani kwa pongezi Mkuu!! Lakini usimchokoze Yericko tafadhali hahaha [emoji1]Hii ndio faida ya kusoma na kuelewa.
Wengi wanapenda kuzisoma story hizi ila tatizo ni Language na hata kama unafahamu basi kuja kuitafsiri ili ieleweke na wengi unaweza ukashindwa.
Big up sana mkuu The bold kwa kuweza kuitafsiri na kuiweka vizuri ili kila mtu apate kuielewa.
Yericco Nyerere na hii usije sema ama-copy kwako.
Sawa Mkuu! Nitafanya hivyoThe bold ukiweka badiko lako jingine usikose kunitag mkuu nipate kuwasili viti vya mbele
Mafia? Wale kila siku wana mipango ya kazi kubwakubwa.Naomba kuuliza wale waliochomoa huu mpango walikua kwenye hali gani baada ya kugundua wenzao wamefanikiwa??