Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

714937580550ef7a38138f2719150416.jpg
0ace990b0af4f8e3233b8aae4d6fd191.jpg
The bank job movie hiyo
So hii movie ndio ime base kwenye hio story sio? Na huyo jamaa si ndie wa kwenye Italian job?
Me kuna movie natamani sana ukiona inaitwa 'if tomorrow comes 'nilisoma kitabu chake tu.
 
Mungu akubariki sana mkuu The Bold. Huwa nahisi kama naangalia movie moja kali sana.
Napendezwa na uandishi wako tangu mwaka 2014 tulikuwa hatulali kwenye moja ya stori zako.
 
So hii movie ndio ime base kwenye hio story sio? Na huyo jamaa si ndie wa kwenye Italian job?
Me kuna movie natamani sana ukiona inaitwa 'if tomorrow comes 'nilisoma kitabu chake tu.
Hapana Mkuu! Hizi Picha ni za movie ya 'The bank job' ambayo iko based on tukio lililotokea London katika bank ya Lloyds! Naona mchangiaji aliyeweka hii comment ya hizo picha amechanganya kidogo coz thread inahusu tukio lililotokea france benki ya Société Générale..
 
Ok.
Nashkuru
 
Hapa ndipo utakapoons watu wanavyopongeza mambo ya kiharifu........ila zamani watu walikuwa wakiiba kwa kutumia akili kubwa sana kuliko saiz
Hongera mkuu kwa muendelezo wa simulizi nzuri kabisa,ukileta nyingine niite nami mkuu nishiriki mapema!!
 
Sawa Mkuu! Ntafanya hivyo
 
Nimegundua kuwa mafia wengi wanaamini kutumia silaha kuliko akili kama alivyofanya huyo jamaa, wizi siupendi ila nimejifunza kuwa ili kufikia mafanikio makubwa ya jambo lolote, lazima mwanzoni ukubali kushindwa, kisha ukae chini ufikiri mbinu ngumu japo rahisi za kukufanikishia jambo fulani.
 
Mkuu . kadri ulivyoikusanya hii story yako, he iliandikwa na mwizi mwenyewe au MTU mwingine? Maana hapo mwishoni inaonekana alikufa bila kukamatwa tena. Sasa ndo najiuliza mtiririko wa matukio waliupataje mpaka mwishoo
 
Interesting.....
Mkuu The bold hujanitag hii story japokuwa nilikuambia unitag kwenye story yako ya mwisho
BTW ipo vizuri sana kama kawaida yako umeitendea haki
 
Nimesoma machapisho mawili tu humu uliyoweka,ya Osama na hii ya Mifereji ya dhahabu! Nitag zingine mkuu!!
Napenda kazi zako braza,

Tupia kitu mkuu ,tuna weekend ndefu.
Tayari Mkuu! Nimekutag kwenye machapisho yangu mengine ambayo hujayasoma..
 
Back
Top Bottom