Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

Huwa hukoseagi kiongozi big up..[emoji122]
 
The Bold Hapo nimeimaliza lakini nawaza sana na kuona matukio mengi haya ya kiharifu inawezekana jamaa qalisaidiwa pia na intelligent agencies au walitumia sana taaluma za ushushu kufanikisha azma zao
 
Mkuu The bold asante sana, huwa kama vile naangalia movie moja matata,stori zako nazirudia mara kadhaa kuzisoma, Thanx.
 
Danny Cooper, Albert Spaggiari, Natorbartolo na Carl Gugasian... Hawa jamaa wote wamepiga matukio miaka ya tisini kurudi nyuma.... Hivi kwa karne yetu hii ni kwamba watu kama hawa wameisha au sasa ni cyber theft ndo imeshika kasi?? Na kama ni hivyo mbona hatusikii matukio makubwa ya aina hii???
 
Mkuu The bold tunashukuru kwa uzi mwingine, ngoja kwanza nimuangalie pogba kesho nitulie niusome vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…