Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mimi mwenyewe kila nikinunua matunda jioni nikiwa njiani kurudi nyumbani mifuko ya palastiki inahusika kama kifungashio! Sijajua tatizo liko wapi? Au ni mifuko maalum iliyoidhinishwa? Ila kama ni tofauti na hapo tunarudi kule kule! Kuna viwanda wa palastiki vinatumia fursa hii ya serkali ya ngoja liende!Wakati wa utawala wa awamu ya tano tulishapiga hatua kwenye ishu ya kudhibiti mifuko ya plastiki iliyokuwa inageuza nchi yetu kuwa kama jalala. Sasa hivi mifuko...
Hili suala nimeliongelea tangu mwaka jana humuWakati wa utawala wa awamu ya tano tulishapiga hatua kwenye ishu ya kudhibiti mifuko ya plastiki iliyokuwa inageuza nchi yetu kuwa kama jalala. Sasa hivi mifuko na vifungashio vya plastiki imerea tena nchini, uharibifu wa mazingira unaendelea kama kawaida. Mifuko inatupwa hovyo mitaani, na hata inapochomwa moto ule moshi unasambaa majumbani na kutishia afya za watu.
Serikali ya Samia iko wapi kwenye suala hili nyeti, Mbona Hayati Magufuli alifanikiwa kwa kiasi kikubwa kudhibiti mifuko hii ya plastic?
Acha roho mbaya.
Hyo mifuko laini meupe inasaidia sana.
Watu wanapoongelea mambo serious uache uswahili wa maneno ya kwenye khanga.