Brothers Karamazov
Senior Member
- Jul 13, 2023
- 152
- 393
- Thread starter
- #21
Shukrani mkuu. Ziko jalalani tayari.Hakuna cement hapo labda zifanye nguzo za Banda la kuku au kazibie madimbwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu. Ziko jalalani tayari.Hakuna cement hapo labda zifanye nguzo za Banda la kuku au kazibie madimbwi
Changamoto ungeziweka stoo pakavu juu ya kitu zisingegandaShukrani mkuu. Ziko jalalani tayari.
Umeshindwa kuFicha ujinga wako hata kwenye maandishi mkuuUpumbavu nao ni maumbile kama urefu na ufupi. Endelea kuchekesha.
Sawa.Umeshindwa kuFicha ujinga wako hata kwenye maandishi mkuu
najaribu kuwaza uimara wa hii. Cement ikaganda tafsiri yake ni kuwa imepoteza ubora, kama walivyosema wadau hapo juu, sasa ukiitumia kama kokoto, Compaction yake itakuwa kiwango?Thinking out of the box, kupiga sakafu unahitaji kokoto na mchanga, hivyo basi vunja vunja hiyo simenti mgando ziwe kama kokote, mix na kokoto Kiasi una save cost.
Hata zingekua hazijaganda zisingefaa kwa matumizi yoyote ya ujenzi.Changamoto ungeziweka stoo pakavu juu ya kitu zisingeganda
Cement ikikaa miezi 3 tokea siku imetengenezwa jua nguvu inapungua kama sio kuisha kabisa.Wakuu nina mifuko kama 9 ya Nyati cement toka 2017, leo nimekuta imeganda. Nikawaza nipige floor kwenye kibanda. Je, naweza itumia vipi?
Hapa haupo sahihi mkuu. Cement haina expire date. Kilichotokea kwa mdau hapa ni kwamba Cement ili absorb moisture due to Gypsum dehydration then ika form lamps.Cement ikikaa miezi 3 tokea siku imetengenezwa jua nguvu inapungua kama sio kuisha kabisa.
So hata kama ingekua haijaganda kwa sababu imekaa zaidi ya miezi 3 ningekushauri ukaitupe jalalani.
Hapa haupo sahihi mkuu. Cement haina expire date.
Hahaha. Niko usukumani mkuu. Dar siuwezi huo mji.Weka kama uzio wa mafuriko au hukai bondeni kwani si upo uko daslam?
Mkuu,Hivi kupungua nguvu ni sawa na ku expire?
Sasa Tuweke mambo ya uhandisi pembeni. Sasa tutumie akili ya kawaida...
Je unadhani ni kwanini cement inawekewa tarehe ya kutenezwa?
Duh kuna wakulungwa wabishi hatariHivi kupungua nguvu ni sawa na ku expire?
Sasa Tuweke mambo ya uhandisi pembeni. Sasa tutumie akili ya kawaida...
Je unadhani ni kwanini cement inawekewa tarehe ya kutenezwa?