Mifuko ya Saruji imeganda, nawezaje kuitumia?

Mifuko ya Saruji imeganda, nawezaje kuitumia?

Thinking out of the box, kupiga sakafu unahitaji kokoto na mchanga, hivyo basi vunja vunja hiyo simenti mgando ziwe kama kokote, mix na kokoto Kiasi una save cost.
najaribu kuwaza uimara wa hii. Cement ikaganda tafsiri yake ni kuwa imepoteza ubora, kama walivyosema wadau hapo juu, sasa ukiitumia kama kokoto, Compaction yake itakuwa kiwango?
 
Wakuu nina mifuko kama 9 ya Nyati cement toka 2017, leo nimekuta imeganda. Nikawaza nipige floor kwenye kibanda. Je, naweza itumia vipi?
Cement ikikaa miezi 3 tokea siku imetengenezwa jua nguvu inapungua kama sio kuisha kabisa.

So hata kama ingekua haijaganda kwa sababu imekaa zaidi ya miezi 3 ningekushauri ukaitupe jalalani.
 
Cement ikikaa miezi 3 tokea siku imetengenezwa jua nguvu inapungua kama sio kuisha kabisa.

So hata kama ingekua haijaganda kwa sababu imekaa zaidi ya miezi 3 ningekushauri ukaitupe jalalani.
Hapa haupo sahihi mkuu. Cement haina expire date. Kilichotokea kwa mdau hapa ni kwamba Cement ili absorb moisture due to Gypsum dehydration then ika form lamps.

Hali hii hutokea kutokana na sababu mbalimbali ila hapa ni kwamba ilikutana na unyevunyevu.

Sababu nyinginge inaweza kuwa high Cement temperature maintained during production, japo kwa case hii ni nadra sana
 
Hapa haupo sahihi mkuu. Cement haina expire date.

Hivi kupungua nguvu ni sawa na ku expire?

Sasa Tuweke mambo ya uhandisi pembeni. Sasa tutumie akili ya kawaida...

Je unadhani ni kwanini cement inawekewa tarehe ya kutenezwa?
 
Tumia tu kaka, iponde ponde isagike Upigie sakafu
 
Hivi kupungua nguvu ni sawa na ku expire?

Sasa Tuweke mambo ya uhandisi pembeni. Sasa tutumie akili ya kawaida...

Je unadhani ni kwanini cement inawekewa tarehe ya kutenezwa?
Mkuu,
Kagua mfuko wako vizuri kama una tarehe ya kutengenezwa japo sina uhakika. Ila cement inatoka kwenye clinker
Clinker haina expire date.
Gypsum inawekwa ili ku control setting time, haina expire date ila gypsum.

Si lazima uniamini kabisa ila ninahusika na uzalishaji wa cement kwa miaka 10 sasa
 
Hivi kupungua nguvu ni sawa na ku expire?

Sasa Tuweke mambo ya uhandisi pembeni. Sasa tutumie akili ya kawaida...

Je unadhani ni kwanini cement inawekewa tarehe ya kutenezwa?
Duh kuna wakulungwa wabishi hatari
 
Back
Top Bottom