Mifumo ya Biometriki inazingatia na kuheshimu Haki ya Faragha?

Mifumo ya Biometriki inazingatia na kuheshimu Haki ya Faragha?

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Kutokana na ukuaji wa Teknolojia, ukusanyaji Taarifa Binafsi za Mamilioni ya Wananchi unaohusisha Mifumo ya Biometriki umekuwa ukiongezeka kwa kasi Barani Afrika.

Mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania yamekuwa yakitumia Mifumo hiyo inayohusisha Alama za Vidole katika Utoaji wa Huduma kama usajili wa Namba za Simu, Vitambulisho na Hati za Kusafiria.

Kila Mtu ana Haki ya Faragha ikiwemo katika Mawasiliano na Taarifa zake Binafsi. Ni muhimu kuwa na Misingi imara itakayohakikisha Taarifa hizo zinalindwa na zipo salama.
 
Back
Top Bottom