Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

Aisee una mboyoyo nyingi sana.
Embu fikirisha ubongo kama jamaa alivyokuambia hata kidocho.
Ngojea nikuulize maswali kadhaa;
1)Kumpiga mtu na kusingiziwa umembaka mtu/umemlawiti mtu vinafanana??
2)Asilimia ya baba wa kambo watesi na mama wakambo watesi ipi kubwa?
3)Mke wa Ashraf Hakimi alikua na sababu gani ya kudai talaka na kutaka mgawanyo wa mali??

Naanza kuhisi naongea na mtu ambae hana exposure na mambo mengi.
Unawezaje leta uwiano kati ya mwanamke na mwanaume kulalamika??
Unaweza ukanipa sababu ya wale wanawake wanaosingizia wame zao ubakaji/ulawiti na upigaji kesha kudai fidia za uongo??
Kwani nimesema nampangia mtu kosa kuwa ni dogo au ni kubwa??
Tuchukulie una watoto,wakaanza kuonesha tabia tofauti,mmoja mkorofi anapiga sana wenzake ila mwingine ana tabia ya kuchezea wenzake makalio na michezo michafu ya kingono,jibu kama MWANAUME NA MZAZI lipi kosa kubwa hapa la kulitazamia na kuhangaika kumnasua mtoto!!??
Au hayo yanafanana!!???
HUNA EXPOSURE NARUDIA HUNA EXPOSURE.

Bro kipindi chetu kuna mambo mengi yalikua yanafanyika ni nje na ustaarabu,kwa akili ya kawaida ni busara mwanamke kuwa kifua wazi??
Embu nijibu hapo.
Tulikua tunakeketana je ni sawa kisa ni mila zetu za zamani??
Pia nimeongea kikubwa umeshindwa kuing'amua hiyo kauli.
Hivi mwanamke ana kikomo cha miaka mingapi mpaka yeye ashindwe kuzalisha??
Hivi kikawaida heshima ya mwanaume na mwanamke ipi rahisi kuanguka kutokana na sababu za maumbile??
Aiseeee!!!!
Embu usilazimishe kuweka usawa mkuu ilhali kuna mambo yamepishana mizani hapa.
Kuhusu mama na baba wa kambo kafuatilie tena asilimia kubwa wapi kuna tatizo.
Fuatilia asilimia nadhani nikitumia neno asilimia utaelewa.
 
Kwahiyo nani anatakiwa amtawale mwenzie? Nani aliyemuoa mwenzie?
 
Line ya mwisho umesema washirikiane na wasaidiane, hebu niambie mnatusaidia nini cha maana kwenye ndoa?
 
Wanawake bhana, wanadai 50/50, ila kwenye suala la pesa hawataki 50/50
 
Una akili kishenzi mwanangu.
 
Timu kataa ndoa ni kwasababu ya upumbavu wa wanawake.
 
Umeandika ukweli mtupu mkuu
 
Reactions: Tsh
Nani anayeamua kwamba maumivu ya kuolewa ndio makubwa kuliko ya kuoa
Si tunaona wanawake mnavyojazana kwa manabii kuombewa ili muolewe, uliwahi kuona wanaume tunaombewa tuoe? Mwanaume akiamua kuwa mwaka huu anaoa itatokea na mke anapatikana, mwanamke anaweza kuamua mwaka huu aolewe na ikatokea? Mpaka hapo ni wakina nani wanaotesekea kuitafuta ndoa? Namshukuru Mungu kwa kuniumba mwanaume, lasivyo namimi pengine ningekuwa nakanyaga mafuta kwa manabii.
 
Ok sawa, kuna jamaa nimepiga nae story leo, mke wake alitaka kumuua, alimkodia majambazi.
 
Yaani hata hujamuelewa aliyeandika, mwanamke kushindwa kutembea kifua wazi alimaanisha maumbile ya mwanamke ni tofauti na ya mwanaume, mwanamke anakoma kuzaa akiwa na miaka 45-50, je akichelewq kuolewa huoni hatopata mtoto? Bado hujaona uhusiano wa kimaumbile wa mwanamke na kuchelewa kuolewa? Na kuhusu mama wa kambo mbona umefukia fukia? Kwa kesi ulizozisikia kati ya baba wa kambo na mama wa kambo nani anaongoza kutesa watoto? Yaani kama hata wanawake hampendani wenyewe kwa wenyewe, mtatupenda sisi wanaume? Mliongea Nini na shetani kule Eden?
 
Pole sana, ss hivi mambo yamebadilika km enzi za utumwa, zilikuja zikapita kila mtu ana uhuru wake..!!!
 
Suala la kutembea na dada wa kazi ilo ni binafsi sana. Halafu hakuna sehemu nimesema kwamba wanaume hawana makosa. Nimeongelea jinsi mifumo ilivyosukwa kumkandamiza mwanaume.
 
Pole sana, ss hivi mambo yamebadilika km enzi za utumwa, zilikuja zikapita kila mtu ana uhuru wake..!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwenye ndoa hakuna uhuru. Sasa we utaweza ndoa Kweli au hutaki kuolewa kabisa wala kuisikia NDOA
 
Ok sawa, kuna jamaa nimepiga nae story leo, mke wake alitaka kumuua, alimkodia majambazi.
Ndio namwambia jamaa hapo wanawake hujitegeza sana na ukiuliza sababu ya yeye kumtumia mumewe jambazi sidhani kama atakupa jibu linaloeleweka.
Hawa viumbe mtihani sana.
 
Mkuu katika hoja zako kuna kitu unajichanganya kidogo. Hakuna popote niliposema wanaume hawana makosa. Kama binadamu na mwanaume pia ana makosa hatuwezi kuanza kueleza makosa yote yanayofanywa na mwanaume na mwanamke. Mjadala unahusu namna mifumo inavyomkandamiza mwanaume na mwanamke anatumia nafasi iyo kutimiza malengo maovu. Ni kweli kuna wanaume wakatili, wabakaji, wanyanyasaji n.k lakini mada haihusiani na hayo
 
11:3Usitumie nguvu zako kwa wanawake,

uhodari wako kwa wale wanaowaharibu wafalme.
 
Ndio namwambia jamaa hapo wanawake hujitegeza sana na ukiuliza sababu ya yeye kumtumia mumewe jambazi sidhani kama atakupa jibu linaloeleweka.
Hawa viumbe mtihani sana.
Wanawake ni mashetani kuliko Lucifer mwenyewe, kaka yangu anateswa na Lucifer wake mpaka na mimi naogopa kuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…