Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

Kila mtu ajitawale mwenyewe kusiwe na wa kumtawala mwenzie, kuoa au kuolewa ni dhana tu iliyotengenezwa wala haina uhalisia, hata wanaosema kuoana wako sahihi kwa upande wao vile vile
Mkuu kwenye jamii kuna gender roles zile sio kutawaliwa zinakuja automaticaly tu kutokana na makuzi ya jamii inayokuzunguka. Majukumu ya mwanamke kufanya usafi, kupika, kumtii mumewe n.k sio utumwa ni gender roles. gender roles sio utumwa.
 
Compensation ya kubeba mimba na kunyonyesha ni nini?
 
Sasa kwanini hakuna anayeanzisha mada ya kukemea hayo na hata ikitokea mtu kaanzisha mada mnamshambulia na kumuita majina ya ajabu, hiyo inatupa tafsiri kwamba mnaona ni sawa mwanaume kufanya makosa hivyo wanawake wanatakiwa wavumilie tu na ndio maana nao sasa wamechoka wameona waanze kuchukua hatua, muwe mnaanzisha na mada za kukosoa maovu ya wanaume au mkiona mtu kaanzisha mada ya aina hiyo msimshabumbulie bali mumpinge kwa hoja
 
Ni majukumu mangapi yanayoitwa ya mwanamke ambayo wewe unayafanya, labda ukijiuliza hilo swali utapata majibu ya swali lako, au bado hata hujaoa
Kwahiyo kunipa K ndo kitu cha maana ?
 
Kwanini unataka iwe ni lazima mwanaume aingie jikoni ndio ionekane 50/50? Kama ratiba zinawabana wote si mnaajiri dada wa kazi atafanya hayo majukumu ya kupika, usafi n.k
Baadae utaenda kwa mpango kando ukapikiwe. Acheni unafiki
 
Mkuu kwenye jamii kuna gender roles zile sio kutawaliwa zinakuja automaticaly tu kutokana na makuzi ya jamii inayokuzunguka. Majukumu ya mwanamke kufanya usafi, kupika, kumtii mumewe n.k sio utumwa ni gender roles. gender roles sio utumwa.
Huyo kumuelewesha utapata taabu.
 
Mkuu kwenye jamii kuna gender roles zile sio kutawaliwa zinakuja automaticaly tu kutokana na makuzi ya jamii inayokuzunguka. Majukumu ya mwanamke kufanya usafi, kupika, kumtii mumewe n.k sio utumwa ni gender roles. gender roles sio utumwa.
Ni vigezo gani vilivyotumika kugawanya hizo gender roles na ni nani anayeamua kwamba gender roles ni utumwa au siyo utumwa, ukitoa yale majukumu ya kimaumbile ambayo wanaume automatically hawawezi kuyafanya hayo mengine yaliyobaki je nayo hawawezi kuyafanya na kama wanaweza kwanini hawayafanyi, mbona hata wanaume nao wanaona kutafuta pesa na kuhudumia mke na watoto ni utumwa wanataka wanawake wawasaidie hilo jukumu ilihali wao hawataki kusaidia ya wanawake
 
Kwahiyo kunipa K ndo kitu cha maana ?
Mkuu hawana issue. We kula maisha angalia kujiwekeza kwako.
Ogopa watu ambao huwa wanasema sasa si umwandikie mtoto urithi au osia kabisa
 
shida unatengeneza assumptions zako halafu unalazimisha ndio ziwe msingi wa hoja. Iyo idadi ya wanaume wengi wanaoona ni sawa kuchepuka na house girl wewe uliipata vipi? Mimi naongea mambo ambayo yapo suala la kugawana mali wakati mwanamke hajachangia chochote, suala la mwanaume kubambikiwa mtoto ni mambo ambayo yapo yanatambulika kabisa kisheria. Mimi ndie mzalishaji wa mali zote halafu tukitalakiana mke apewe 50% unasema sio ukandamizaji ni inferior complexity.! hivi tukiweka iwe vice verse kwamba mali za mwanamke ndio zigawanywe unafikiri wanawake watakubali iyo sheria? Mimi naongelea mambo ambayo yapo kimfumo wewe unakuja na umbea wa kucheat na house girl uliwaona hao wanaume wakati wananyanduana na mahouse girl?
 
Makelele yenu ndani ya nyumba na ubinafsi wa kipumbavu mlionao.
Hayo makelele yanasababishwa na nini yani mwanamke anaamka tu asubuhi anaanza kupiga kelele bila sababu, halafu huo ubinafsi mnaosema wanawake wanao je ni kwa kila mtu hadi kwa watoto wao na wazazi wao au ni kwa wanaume tu, kijana punguza mihemko fafanua huo ubinafsi wa wanawake uko wapi na ni kwa sababu gani
 
wewe ni mbishi.
 
Wewe umeoa kweli, na una mtoto hata mmoja, au najadili na mvulana hapa
Jibu hoja niliyouliza, maisha yangu binafsi niachie mimi, kunipa K ndo huduma inayofanya tukiachana tugawane mali nusu kwa nusu?
 
Hivi kuhusu hilo suala la mgawanyo wa mali mnataka mfafanuliwe mara ngapi ni kwamba hamuelewi au mmeamua tu kukaza mafuvu, umeshaambiwa huo mgawanyo ni kutokana na muda na nguvu alizowekeza mwanamke katika kutimiza majukumu yake ya nyumbani ikiwemo kulea watoto na kukutii wewe, sasa unaweza kunipa sababu kwanini mume naye apewe mali za mke wake nusu ni kwa vigezo gani
 
Bora kusaidia chatu alonasa mahala kuliko hawa viumbe dhaifu.

Yan wekeza akili na nguvu kidogo tu kwa mtu ambaye unaona anahofu na Mungu ila kama ni wa 50% kwa 50% bro jua hapo umepigwa na jua utawahi kufa na wao hujua hilo

Jipende mwanaume.jithamini. kuwa mbinafsi kwa maslahi mapana ya maisha yako na watoto wako kama unao.
Jilindi usife mapema kisa hao viumbe.
 
Siku hizi watu hawasubiri ndoa wanajizalia tu....
Na huko mbele wanawake wataanza nunua sperms, ni swala la muda tu
 
Jibu hoja niliyouliza, maisha yangu binafsi niachie mimi, kunipa K ndo huduma inayofanya tukiachana tugawane mali nusu kwa nusu?
Maisha yako binafsi hayanihusu ila ungekuwa umeoa usingesema mwanamke kwenye ndoa anakupa k tu, majukumu ya nyumbani na kulea watoto bila shaka yote hayo unayafanya wewe, au hata kama umeajiri mtu basi nina uhakika naye ni mwanamke tu

By the way hata mwanamke kukupa K tu nacho ni kitu muhimu, kwa sababu huwa mnakiri wenyewe kwamba hamuwezi kuishi bila sex ni kama chakula kwenu, na hamna pengine pa kuipata zaidi ya kwa mwanamke sasa mbona mnaidharau tena

Kusema kwamba mke hana cha kuoffer zaidi ya sex ni sawa na kusema mawingu hayana cha kuoffer zaidi ya mvua, labda nikuulize mfano una mwanamke mwema anakupenda anakujali siyo malaya wala siyo jeuri, ila tu hakupi sex vipi utamuelewa na utaendelea kuwa naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…