Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
-
- #261
Kama mwanaume anataka mwanamke aende kazini hapo hapo afanye majukumu ya nyumbani huo ni unyanyasaji. Ikiwa wote mnaenda kazini ni busara mkaajiri hpusegirl kwa ajiri ya masuala ya nyumbani mke atabaki kuakikisha tu kama kazi zimefanyika kwa usahihi lakini suala la mke kumtii mumewe ilo halimpotezei mwanamke muda wala gharama kwaiyo huwezi kusema eti kwa sababu mke nae analeta kitu mezani basi takwa la kumtii mumewe liondolewe.Hoja yangu ni kwanini majukumu ya nyumbani yaendelee kuonekana ya mwanamke peke yake ilihali ya kutafuta pesa yanaonekana ni ya wote, si lazima mwanaume aingie jikoni sawa mnaweza mkaweka msaidizi lakini mbona pamoja na kuweka msaidizi bado huwa mnataka mwanamke asimamie au asaidie na asipofanya hivyo visingizio vya kuchepuka vinaanza, usijiongelee wewe tu hapa tuongelee uhalisia uliopo kwa wanaume wengi yani wanaume wengi wanataka lazima wake zao wajihusishe kwenye majukumu ya nyumbani hata kama nao wanatafuta pesa utasikia "sasa nimeoa mke wa kazi gani"