Hivi na yule mme wake ni shoga au,..yaani yy kila kitu kinachohusu mwanamke anatete meanwhile anakandia wanaume.Tulikosea sana kuipokea hii sera ya 50/50 mbaya zaidi jukumu la kuieneza tukawaachia mafeminia vilaza wa type ya joyce kiria.
Upendeleo usiwe na nafasi sehemu yoyote ile...., ila historically wenzetu / bibi zetu jamii iliwakandamiza vya kutosha...,Ukiziangalia kwa undani hizi movements za 50/50, women empowerment and the likes utaona kinachoenezwa sio usawa bali ni ubinafsi na chuki za kijinsia. Siku moja niliona habari wanawake wanasema kiwanda chao wana sera ya kuajiri wanawake tu kama chachu ya kuaminisha jamii wanawake wanaweza na wapo proud kabisa kwa kufanya ivyo na watu wengi wanakawapongeza kwenye comments, ukiangalia kazi zinazofanyika hapo hazina uhusiano wa kijinsia, nikajiuliza hii ingekua kinyume chake kwamba wanaume ndio wanafanye je wasingesakamwa kwamba ni wabaguzi wa kijinsia? ndipo nikagundua hili suala la 50/50 kuna sehemu wanawake hawajalielewa. 50/50 maana yake wote mpewe access sawa sawa halafu mwenye uwezo apate shida ni kwamba wanawake wanataka usawa halafu katika kinyang'anyiro cha fursa wanataka waonewe huruma au wapewe upendeleo
You see right there hakuna aliyepo top, but in the end mwanaume ndio kichwa cha familia. But anakuwaje if mtoto wa kike ndio anapewa powers za kusimama kwneye hiyo nafasi huku mwanaume akiachwa apambane kivyake? It a bot unfairHalafu huwa siamini kuna aliyeko top. Naamini kuna wajibu wa mwanaume na wa mwanamke.
Mwanaume kuwa kiongozi wa familia na mhusika wa kufanya maamuzi ya mwisho hakumfanyi kuwa top, ni jukumu lake tu.
Mwanamke kumlea mwanaume na watoto hakumfanyi kuwa weak, ni jukumu lake tu. Ts all about mgawanyo wa majukumu sio masuala ya kuwa top au weak.
Ni sawa na kusema shingo haina umuhimu kama kichwa.
Mkuu jamii imempa mwanamke victim status ndipo wanawake wanaitumia iyo status kufanya abuse na ku-act childish to the extent that can't be tolereted but they will get along with it because systems zinawapa upendeleo. Mwanaume ukijifanya kuwa aggresive au violent ni rahisi sana kwa mwanamke kukupa kesi hata kama yeye ndie mwenye makosa kuanzia mwanzowanaume wenyewe ndo tunajishusha tunakiwa marofa sana sikuhizi huna kuta familia mwanamke ndo anafanya maamuzi mwanaume yupo yupo tu
wanawake wakieenda kwenye semina zao ni kutukandia tu wanaume wanajadili ku take power tuliyo nayo
Hakuna alielalamikaMimi naona dunia imemsikiliza mwanaume kwa muda mrefu imefika pahala acha sasa imsikilize na mwanamke kwa sababu mfumo dume umemkandamiza mwanamke vya kutosha, wake walipokuwa wanavumilia kukandamizwa miaka yote hiyo ilionekana sawa sasa wameamka baada ya kuchoka na kukataa kukandamizwa wanaume mnaanza kulalamika na mnaona kama mnaonewa, wanawake wamechoka kulalamika wameamua kujibu mapigo kwahiyo tulieni tu dawa iwaingie mpaka pale siku mtakapoongea nao lugha moja
Unajua tumefikaje hapa?You see right there hakuna aliyepo top, but in the end mwanaume ndio kichwa cha familia. But anakuwaje if mtoto wa kike ndio anapewa powers za kusimama kwneye hiyo nafasi huku mwanaume akiachwa apambane kivyake? It a bot unfair
Huko magharibi wanawake wameanza kubembelezwa kuzaa watotoUsihofu, nature itajishape tu kubalance mambo, kila kitu kina matokeo yake.
Mfano, sasa hivi kuna idadi ya vijana wapo tu wanamaliza vyuo hawana kazi. Kazi zinashikwa na mabinti. Baada ya muda jamii inakuwa na wanaume masikini na wanawake wenye uwezo kiuchumi. Nini kinafata?
Uhaba wa wanaume wenye uwezo wa kumtunza mwanamke, uwepo wa vijana mlenda mlenda na legelege na tegemezi, ongezeko la single mothers, jamii itaanza kuona umuhimu wa uwepo wa wanaume.
Ulinzi wa mtoto wa kiume utaongezeka. Semina za malezi ya mtoto wa kiume na kelele za muandae baba ajae zinashamiri, ajira zitamtazama mwanaume n.k n.k Ni suala la muda tu.
itategemeana na mtazamo unaotumia..Kwa sisi tunaoitizama familia kama a smallest political unit in a country ni lazima awepo ndani ya familia, mtu mwenye mamlaka ya juu kuliko wenzake ambae ndi kiongoz.Halafu huwa siamini kuna aliyeko top. Naamini kuna wajibu wa mwanaume na wa mwanamke.
Mwanaume kuwa kiongozi wa familia na mhusika wa kufanya maamuzi ya mwisho hakumfanyi kuwa top, ni jukumu lake tu.
Mwanamke kumlea mwanaume na watoto hakumfanyi kuwa weak, ni jukumu lake tu. Ts all about mgawanyo wa majukumu sio masuala ya kuwa top au weak.
Ni sawa na kusema shingo haina umuhimu kama kichwa
Kama huko siyo kulalamika basi sijui maana ya kulalamika itakuwa ni ipi tenaHakuna alielalamika
Yap, hawataki tena hilo jukumu. Kwanini? Sababu yeye akibeba mimba miezi 9 wewe uliyempa mimba unafanya nn? Anakuzalia, anakulelea, and then? What do you do? Hilo swali hata sasa hivi mwanamke kabla ya kushika mimba akimuuliza kijana asiyejielewa kwanini abebe mimba yake na katika hiyo miezi 9 ni nini atakuwa anafanya kwa mama ili iwe win-win uwezekano ni jibu litakuwa la hovyo.Huko magharibi wanawake wameanza kubembelezwa kuzaa watoto
Unapenda sana kujenga hoja kwa kufanya rejea kutoka uko magharibi. Mkuu jamii zetu ni tofauti kiuchumi, kimaadili na kielemu sio kila sera ya uko magharibi ita-fit hapa kwetu.Huko magharibi wanawake wameanza kubembelezwa kuzaa watoto
Mamlaka si uongozi. Mamlaka ni utawala. Na utawala ndo umetufikisha hapa tulipo sasa hivi kuna tishio la wanawake kutawala wanaume. Tungeongoza tusingefika huku.itategemeana na mtazamo unaotumia..Kwa sisi tunaoitizama familia kama a smallest political unit in a country ni lazima awepo ndani ya familia, mtu mwenye mamlaka ya juu kuliko wenzake ambae ndi kiongoz.
Mkuu yupo sawa. Tupo affected sana na wamagharibi. Ni kama tunafata nyayo zao kwa kuchelewa. Yaani wakimalizana na stage fulani baada ya miaka na sisi tunaanza kuipitia kwa kujifunza bila kujali iliwaumiza au la. Sisi tunaiga tu.Unapenda sana kujenga hoja kwa kufanya rejea kutoka uko magharibi. Mkuu jamii zetu ni tofauti kiuchumi, kimaadili na kielemu sio kila sera ya uko magharibi ita-fit hapa kwetu.
Ku-address tatizo lililopo kwenye jamii sio kulalamika.Kama huko siyo kulalamika basi sijui maana ya kulalamika itakuwa ni ipi tena
Ndipo hapo tunapokosea.Mkuu yupo sawa. Tupo affected sana na wamagharibi. Ni kama tunafata nyayo zao kwa kuchelewa. Yaani wakimalizana na stage fulani baada ya miaka na sisi tunaanza kuipitia kwa kujifunza bila kujali iliwaumiza au la. Sisi tunaiga tu.
Mtawala anaweza kuwa kiongozi at the same time, lakini kiongozi ni ngumu kuwa mtawala. Kwa mantiki hyo bac mtawala wa siasa ya familia anaweza kuwa kiongozi vilevile wa familia hyo ..Mamlaka si uongozi. Mamlaka ni utawala. Na utawala ndo umetufikisha hapa tulipo sasa hivi kuna tishio la wanawake kutawala wanaume. Tungeongoza tusingefika huku.