You see right there hakuna aliyepo top, but in the end mwanaume ndio kichwa cha familia. But anakuwaje if mtoto wa kike ndio anapewa powers za kusimama kwneye hiyo nafasi huku mwanaume akiachwa apambane kivyake? It a bot unfair
Unajua tumefikaje hapa?
1. Ongezeko la wanaume kuwa na nyumba ndogo na kuisahau familia, mke anakosa option anaanza kutoka kufanya jukumu la mwanaume wake. Huko nje anakutana na wenzake, wanajiongeza, vinaundwa vikoba, vikundi, mabank yanaona fursa, yanatoa mikopo mwishowe wanaibuka malkia wa nguvu.
2. Ongezeko la vijana wala kimasihara. Binti kashika mimba, kijana kakimbia, binti kaacha shule kulea mimba, kijana kaendelea na shule, kijana kamaliza shule, kachukua binti mwingine. Wazazi wa binti wamepewa jukumu la kulea binti na mjukuu. Jamii inaona, inajifunza kuwa binti anaweza kutelekezwa inapambana kumwinua, binti anaiunuka, malkia wa nguvu anaibuka.
3. Ongezeko la wanaume maboss waroho. Vijana na mabinti wamemaliza chuo, wameomba kazi, mabinti ni warembo, boss anavutiwa nao, anawapa ajira, mishahara mizuri vijana wanabaki mtaani. Malkia wa nguvu malaya wanaibuka.
Huko vyuoni kuna degree zinaitwa za chupi.
4. Ongezeko la wanaume six pac na gym ila mariooo. Obvious hapa mwanmke atahitaji kumlisha, kumvisha n.k
5. Uwepo wanaume wapenzi wa jinsia moja. Hapa sina la kusema.
KWA UFUPI, MWANAMKE KAINUKA BAADA YA MWANAUME KUMPA SABABU YA KUINUKA. OTHERWISE HAKUKUWA NA SABABU YA MWANAMKE KUTAKA KUWA MWANAUME. MWANAMKE NATURE TU ILIVYOMUUMBA ANAFURAHIA KUWA NA MUME ANAYEMHUDUMIA NA YEYE AMTUNZE YEYE NA WATOTO.