Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

chief una hoja, endelea....
 
Huwa wanaamini hivyo kwa sababu hata wanaume bado mnaamini kwamba kazi za ndani na kulea watoto ni za wanawake, siyo kosa lao ni mgawanyo wa majukumu tu uliowekwa siku wanaume mkikubali kufanya majukumu yao bila kutegea wala kuuliza basi hata wao watafanya majukumu yenu kiroho safi tu, hata huko kwa wazungu unakosema wanagawana bills pasu kwa pasu ukae ukijua hata majukumu ya nyumbani wanagawana hivyo hivyo sasa ninyi wanaume wa kiafrika hilo hamtaki mnataka kuwategea wanawake wafanye majukumu mengi zaidi yenu
 
Kaka tulia ndiyo maana robot za kike zimekuja
Sheria haitubani bali sisi ndio tunaojibana mfano mzuri mimi ni wazazi wangu baba anapaswa awe na mali yake mwenyewe yaani mwanaume vitu vyote usipeleke nyumbani kabisa gawa ina laki hamsini weka mfukoni hamsini mama na watoto wagawane hutosumbuka mama anajua una nyumba moja kumbe unazo tatu mtagawana hiyo moja mbili zinabaki kwako tatizo letu vijana tunajitoa mazima kwa wapenzi wetu
 
Kwanini unataka iwe ni lazima mwanaume aingie jikoni ndio ionekane 50/50? Kama ratiba zinawabana wote si mnaajiri dada wa kazi atafanya hayo majukumu ya kupika, usafi n.k
 
Mpaka ukaamua kumiliki mali kwa siri maana yake sheria inakukandamiza kuweka wazi mali zako. Hata ivyo ulichoandika hapa kina mantiki sana, mwanamke anatakiwa kujua nyumba mnayoishi tu mali zingine zote ziwe siri wazijue ndugu wachache wa karibu sana ili zisipotee ukifa.
 
Kwanini unataka iwe ni lazima mwanaume aingie jikoni ndio ionekane 50/50? Kama ratiba zinawabana wote si mnaajiri dada wa kazi atafanya hayo majukumu ya kupika, usafi n.k
Sasa mbona huwa mnatembea na hao wadada wa kazi kwa kisingizio kwamba wao ndio wanaowafanyia kila kitu
 
Unapenda sana ligi wewe.
Tatizo mkiishiwa hoja mnakimbilia kusema watu wabishi na wanapenda ligi, kwani niliyoyasema ni uongo je wanaume wengi hawatembei na wadada wa kazi kwa kisingizio hicho, au mnataka tuache kusema ukweli tukubaliane tu na lawama zote wanazotupiwa wanawake hata za uwongo
 
Duu Dunia Nitupe Et Nani kama Mama, Baba Ndo analipa kodi ya nyumba,Ada,Bili za vyakula nk Hawalijui Hilo Wanawake na Baazi ya Midume Kushadadia
 
Yana mwisho.........................................................
 
Zamani kulikuwa na tatizo ni Kweli, lakini kutatua tatizo siyo kuleta tatizo tena juu ya tatizo. Mfano ume gundua tatizo lilikuwa kusikiliza upande mmoja, sasa kutatua ni kusikiliza pande mbili na kutoa haki kwa usawa, na siyo kusikiliza upande mmoja kama zamani sababu tayari zamani ulisikiliza upande mmoja sasa huoni kama una rudia tatizo ulilo lifanya zamani ?!
 
WOte ndo nyinyi anaowakusudia mtoa mada
 
HUWEZI KUSHINDANA NA ASILI

KILA KITU KITAJIBALANCE KAMA KAWAIDA
 
Umeongea ukweli mtupu.
Japo na wewe mwanaume unaweza jitutumua kupitia hizo sheria.
Dunia ya sasa hakuna kumuonea mwanamke huruma maana hata wao huruma hawana bimaana hawastahili.
Mwanamke akikukatili mkatili mara elfu kiushetani zaidi.
Kheri umuhurumie ibilisi kuliko mwanamke,maana mwanamke ni zaidi ya ibilisi.
 
Sahihi.
 
wanawake wamechoka kulalamika wameamua kujibu mapigo kwahiyo tulieni tu dawa iwaingie mpaka pale siku mtakapoongea nao lugha moja
Utafika muda na mwanaume atachoka nae atajibu mapigo, na hii haipo mbali, mjadala huu ni ishara kuwa wanaume wameanza kuelewa lengo sio 50/50 ila ni kumzalilisha mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…