Si kila mtu anaamini katika vitabu vya dini vipi kama hivyo vitabu navyo vilitungwa tu na wanaume kwa maslahi yao binafsi, mnaposema mwanaume anatakiwa kumtawala mwanamke mnatakiwa mtoe sababu zinazoeleweka kuwa kwanini iwe hivyo na si kinyume chake, siyo watu wanajiamulia tu kwamba fulani amtawale fulani halafu wanategemea huyo anayeambiwa atawaliwe naye akubali kirahisi tuSi ndo biblia inavyosema, mwanamke aliumbwa kwaajili ya mwanaume, na siyo kinyume chake.
HAKIKA UKO SAHIHI,Usihofu, nature itajishape tu kubalance mambo, kila kitu kina matokeo yake.
Mfano, sasa hivi kuna idadi ya vijana wapo tu wanamaliza vyuo hawana kazi. Kazi zinashikwa na mabinti. Baada ya muda jamii inakuwa na wanaume masikini na wanawake wenye uwezo kiuchumi. Nini kinafata?
Uhaba wa wanaume wenye uwezo wa kumtunza mwanamke, uwepo wa vijana mlenda mlenda na legelege na tegemezi, ongezeko la single mothers, jamii itaanza kuona umuhimu wa uwepo wa wanaume.
Ulinzi wa mtoto wa kiume utaongezeka. Semina za malezi ya mtoto wa kiume na kelele za muandae baba ajae zinashamiri, ajira zitamtazama mwanaume n.k n.k Ni suala la muda tu.
Ndio nilichokiandika ndicho nilichokimaanisha wala sijakosea mkuu, ukiwasikiliza wanawake wanataka haki itendeke yani haki sawa kwa wote, ukiwasikiliza wanaume hawataki haki sawa wao wanataka mwanamke aendelee kukandamizwa ndio wapate furaha
Okay kwahiyo wewe ulikuwa unashauri nini mkuu ulikuwa unataka wanawake waendelee kuvumilia kunyanyaswa au ulikuwa unataka watumie njia gani, ninyi mnaosema 50/50 ina malengo mabaya ndio mnaopotosha kwa sababu 50/50 lengo lake si mwanamke awe juu ya mwanaume bali mwanamke awe sawa na mwanaume katika nyanja mbalimbali na si lazima kimaumbile, lengo lake siyo eti mwanamke amtawale mwanaume bali kila jinsia ijitawale yenyewe kusiwe na wa kumtawala mwenzie bali washirikiane na wasaidianeHiyo 50/50 mnayo ipigania ndiyo ime fikisha huko, kwa ufupi waliyo ileta hiyo 50/50 hawaja tatua taitizo bali wame weka moto juu ya moto, tatizo juu la tatizo.
50/50 una ijua wewe.Okay kwahiyo wewe ulikuwa unashauri nini mkuu ulikuwa unataka wanawake waendelee kuvumilia kunyanyaswa au ulikuwa unataka watumie njia gani, ninyi mnaosema 50/50 ina malengo mabaya ndio mnaopotosha kwa sababu 50/50 lengo lake si mwanamke awe juu ya mwanaume bali mwanamke awe sawa na mwanaume katika nyanja mbalimbali na si lazima kimaumbile, lengo lake siyo eti mwanamke amtawale mwanaume bali kila jinsia ijitawale yenyewe kusiwe na wa kumtawala mwenzie bali washirikiane na wasaidiane
Hivi ni kwamba miaka yote hiyo mlikuwa hamsikii jitihada za dunia kuwaelimisha watu hasara za mfumo dume au ni kwamba mmeamua kuwa ignorant kwa makusudi tu, mkuu ni wanaume wangapi pamoja na kuelimishwa hasara za mfumo dume ila bado wameamua kukaza mafuvu kwamba mwanamke hana haki na kamwe hatakuja kuwa na haki ya kusikilizwa sasa watu wa aina hii unawafanyaje, mtu ambaye hataki kubadilika kuenda na wakati ni kumuacha aamue mwenyewe kubadilika taratibu au aendelee kulalamika tu hadi mwisho wa dahari maana dunia haiwezi kuwasikiliza wajinga kama hawaKuna wanaume wanao taka mfumo dume,mimi wala siko nao na nina wapinga, ishu ilitakiwa kuondoa mfumo dume kwanza kuondoa tatizo, yaani mfumo dume ni kukandamiza upande mmoja,sasa ili kutatua hiyo shida ondoa mfumo dume kwa kuelemisha hasara ya mfumo dume na kutoa haki pande zote na siyo kusema sasa wanaume wamesikilizwa mida mrefu sasa ni 50/50 zamu ya wanawake kusikilizwa.
Sikiliza pande zote na haki toa kwa usawa pande zote.
Yaani nitafute kwa jasho,uje kwenye ndoa alafu tukiachana tugawane 50/50 sasa wewe ume changia nini na wakati kazi ulikuwa una fanya ndani ya nyumba, heri ungekuwa goli kipa basi nikupe hata 30 nibaki na 70 and still bado niwe natoa matumizi kwa watoto.
Siyo 50/50 aisee
Sasa mbona hujamalizia na kazi za ndani mfanye wote kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumba, kulea watoto kuanzia wakiwa wachanga kuwapikia, kuwasafisha, kuwauguza, kuwaandaa nk yani mfanye wote bila kutegeana utaweza, na kama mkiweka housegirl basi mkeo asiguse kazi yoyote kama wewe tu maana mtakuwa mnasaidiana kwenye kulipa bills pasu kwa pasu, na wala usitembee na huyo housegirl kwa kisingizio cha kwamba eti anafanya majukumu yote ya mke na mke amejisahau, hapo vipi mkuu utakuwa tayari50/50 una ijua wewe.
Tukikaa nyumba moja kila kitu tufanye 50/50 mpaka expenses za ndani, tukitoka out kila kitu yaani ndiyo maana ya 50/50 yaani kuanzia leo utoe kutegemea mwanaume akuhidumie badala yake mhudumiane.
Unaweza wewe ?!
Walitoa elimu lakini hawakuwa serious ku take actions. Hii ishu ya 50/50 ndiyo wako mauo serious kupita maelezo lengo lao kuu ni kuhakikisha jamii ina badilika hakuna mambo ya ndoa, watu watengane na wasioane mwisho wa siku mashoga na wasagaji wazaliane.Hivi ni kwamba miaka yote hiyo mlikuwa hamsikii jitihada za dunia kuwaelimisha watu hasara za mfumo dume au ni kwamba mmeamua kuwa ignorant kwa makusudi tu, mkuu ni wanaume wangapi pamoja na kuelimishwa hasara za mfumo dume ila bado wameamua kukaza mafuvu kwamba mwanamke hana haki na kamwe hatakuja kuwa na haki ya kusikilizwa sasa watu wa aina hii unawafanyaje, mtu ambaye hataki kubadilika kuenda na wakati ni kumuacha aamue mwenyewe kubadilika taratibu au aendelee kulalamika tu hadi mwisho wa dahari maana dunia haiwezi kuwasikiliza wajinga kama hawa
Mkuu mimi naona hii dhana ya kwamba 50/50 ni mfumo wa kishetani nayo ni propaganda kama propaganda nyingine tu, kwani tangu 50/50 imeanzishwa hakuna ndoa zinazodumu na kama kweli ndoa hakuna je ni jinsia gani iliyoanzisha kampeni ya kukataa ndoa na kwanini, tusije tukawa tunalaumu kumbe shida siyo mfumo bali shida ni watu fulani tu ambao kwa sababu zisizo za msingi hawataki kukubaliana na mfumo mwingine na mabadiliko yakeWalitoa elimu lakini hawakuwa serious ku take actions. Hii ishu ya 50/50 ndiyo wako mauo serious kupita maelezo lengo lao kuu ni kuhakikisha jamii ina badilika hakuna mambo ya ndoa, watu watengane na wasioane mwisho wa siku mashoga na wasagaji wazaliane.
Huwezi ona mtoto wa kiume kalelewa na mama pekee single parent alafu huyo mtoto eti awe MWANAUME NGANGARI lazima tuu atakuwa ba vitabia tabia vya kike sawa siyo wote ila wengi wao, hata huyo mtoto wa kike akilelewa na mama pekee mimi siwezi oa sababu wengi wao wanakuwa wamejazwa chuki juu ya wanaume na kuaminishwa Mwanaume akileta shida yoyote achana naye haraka sana hata wewe unaweza ishi mwenyewe bila yeye sasa mwisho wa siku unakuta wasichana wengine hata kama mwanaume hana shida au shida ndogondogo tuu za kuvumiliana yeye ata singizia kutaka kuachana sababu ni kweli amesha jazwa maneno huko nyuma.
Kiufupi 50/50 ni AGENDA ya kishetani we fanya research uone madhara ya 50/50 na mfumo dume saaa kote kuna madhara lakini wapi kuna madhara makubwa zaidi.
Maumivu ya kutoolewa ni makubwa kuliko yale ya kutooa,kwa ivo unaweza kumkataa mtu ila lazima tu uishi nae..kumbuka man will still a man forever.hata Quran na bible zimeandika.Mimi naona dunia imemsikiliza mwanaume kwa muda mrefu imefika pahala acha sasa imsikilize na mwanamke kwa sababu mfumo dume umemkandamiza mwanamke vya kutosha, wake walipokuwa wanavumilia kukandamizwa miaka yote hiyo ilionekana sawa sasa wameamka baada ya kuchoka na kukataa kukandamizwa wanaume mnaanza kulalamika na mnaona kama mnaonewa, wanawake wamechoka kulalamika wameamua kujibu mapigo kwahiyo tulieni tu dawa iwaingie mpaka pale siku mtakapoongea nao lugha moja
Nani anayeamua kwamba maumivu ya kuolewa ndio makubwa kuliko ya kuoaMaumivu ya kutoolewa ni makubwa kuliko yale ya kutooa,kwa ivo unaweza kumkataa mtu ila lazima tu uishi nae..kumbuka man will still a man forever.hata Quran na bible zimeandika.
Unaweza kujitetea sasa ivi najua una miaka 20-30 subili kivumbi 40 pale ..hujiulizi Kwanini mwanaume anazalisha hata kama akiwa mzee ila mwanamke akifika age ya 40_50 hazai...jiongeze🤒🧐Nani anayeamua kwamba maumivu ya kuolewa ndio makubwa kuliko ya kuoa
Same old stories acha porojo jibu swali ni nani anayeamua kwamba kutoolewa kuna maumivu makubwa kuliko kutooa, mwanaume akishazalisha mwisho wa siku nani anayebaki na hao watoto hadi uzeeni au nawe ndio wale ambao mwisho wenu wa kufikiri ni mbele ya pua zenu, kwa hawa wanawake wa sasa kama mnadhani eti msipowaoa mnawakomoa poleni they are not yet done to surprise you bruhUnaweza kujitetea sasa ivi najua una miaka 20-30 subili kivumbi 40 pale ..hujiulizi Kwanini mwanaume anazalisha hata kama akiwa mzee ila mwanamke akifika age ya 40_50 hazai...jiongeze🤒🧐
Usiwalishe wenzako utumboSame old stories acha porojo jibu swali ni nani anayeamua kwamba kutoolewa kuna maumivu makubwa kuliko kutooa, mwanaume akishazalisha mwisho wa siku nani anayebaki na hao watoto hadi uzeeni au nawe ndio wale ambao mwisho wenu wa kufikiri ni mbele ya pua zenu, kwa hawa wanawake wa sasa kama mnadhani eti msipowaoa mnawakomoa poleni they are not yet done to surprise you bruh
Ndoa hazidumu sababu shida ni kote kote bado jamii ya kike na kiume hazija kubaliana na mfumo wa 50/50. Leo hii unaongea hivyo kesho utakuwa na mtoto wa kiume si ajabu unaye tayari hii ishu ya 50/50 hata yeye ita muumiza tuu si ajabu siyo mtoto tuu hata kaka au ndugu wa karibu wa kiume najua naye ana pitia changamoto juu ya wanawake wa sasa hivi hasa hawa wanao shupalia 50/50.Mkuu mimi naona hii dhana ya kwamba 50/50 ni mfumo wa kishetani nayo ni propaganda kama propaganda nyingine tu, kwani tangu 50/50 imeanzishwa hakuna ndoa zinazodumu na kama kweli ndoa hakuna je ni jinsia gani iliyoanzisha kampeni ya kukataa ndoa na kwanini, tusije tukawa tunalaumu kumbe shida siyo mfumo bali shida ni watu fulani tu ambao kwa sababu zisizo za msingi hawataki kukubaliana na mfumo mwingine na mabadiliko yake
Aiseee tunarudi palepale.Mkuu mimi hata sielewi unaishi kwenye jamii gani hiyo ambayo kwenye mahusiano au ndoa mwanaume akifanya kosa anatukanwa ila mwanamke anapendelewa maana kwenye jamii za kiafrika vice versa ndio uhalisia
Je ni jamii hii hii ambayo mwanamke anaitwa single mother na kudhalilishwa na kuambiwa kuwa hafai kuolewa ila mwanaume haitwi single father na kwake ni sawa tu kuoa
Je ni jamii hii hii ambayo mwanaume kuwa na wanawake wengi inaonekana kawaida na tena unaambiwa kabisa hakuna mwanaume malaya ila mwanamke akiwa na wanaume wengi ndio malaya
Je ni jamii hii hii ambayo mwanaume akichelewa kuoa hata akifika miaka 50 hakuna anayemtukana ila mwanamke akifika miaka 30 tu bila ndoa anaonekana katumika sana na hafai kuolewa kabisa
Je ni jamii hii hii ambayo mwanaume na mwanamke wakiachana kwenye ndoa siku zote anayeonekana mbaya na ndio chanzo ni mwanamke huku mwanaume akionekana innocent
Wewe unasema wanaume hawajawahi kuplay victims kwani hiki mnachokifanya kwenye dunia ya leo ni nini kama siyo kuplay victims, siku hizi wanaume mnalalamika sana asee yani ni kama vile mmepokea mic kutoka kwa wanawake, na sasa ni zamu yenu ya kuchana mistari ya malalamiko
Hayo unayoyalalamikia wewe kwamba wanawake wanatetewa kuzaa nje ni mawazo tu ya watu binafsi siyo sheria kusema kwamba ni lazima mtu aifuate, ukiamua unaweza ukamuacha huyo mkeo na hakuna atakayekufanya kitu mbona watu wanaachana kila siku kwa sababu kama hizo, ni kama tu baadhi ya watu wanavyotetea wanaume kuchepuka na wengi husema kumuacha mume sababu ya kuchepuka ni sawa na kukimbia nchi sababu ya mvua
Mkuu nachoweza kusema ni kuwa ukiamua kuishi na hawa viumbe fuata kanuni zifuatazo;Mh, ulikutwa na Nini mkuu? Pia uliwapa adhabu gani? ili namimi nimkomeshe atakayejileta.
Kama ni utumbo mbona mnaogopa wao kulishwaUsiwalishe wenzako utumbo
Hapa suala siyo mimi kuwa na mtoto wa kiume au ndugu wa kiume suala hapa ni kujadili uhalisia je ubaya wa 50/50 uko wapi, maana hadi sasa sijaona mahali ulipoongelea ubaya wa 50/50 zaidi ya malalamiko tu juu ya wanawake, by the way kwani walioanzisha the whole agenda in the first place ni jinsia ganiNdoa hazidumu sababu shida ni kote kote bado jamii ya kike na kiume hazija kubaliana na mfumo wa 50/50. Leo hii unaongea hivyo kesho utakuwa na mtoto wa kiume si ajabu unaye tayari hii ishu ya 50/50 hata yeye ita muumiza tuu si ajabu siyo mtoto tuu hata kaka au ndugu wa karibu wa kiume najua naye ana pitia changamoto juu ya wanawake wa sasa hivi hasa hawa wanao shupalia 50/50.
Kuhusu Agenda zipo na zitaendelea kuwepo, jaribu kuangalia yanayo endelea duniani kwa jicho la 3.
Fikirisha ubongo kidogo
Hivi hapa tunajadili uhalisia au mawazo yako tu hebu fafanua kwanza ili nijue nadeal na mtu wa aina gani, yani haiwezekani bila aibu unasema kabisa eti makosa ya mwanaume yanajulikana, na hayaumizi kama ya mwanamkeAiseee tunarudi palepale.
Hivi mtu kukupiga ngumi unajiona na mtu kukuvizia akakupiga kisogoni ipi inauma???
Labda nijitahidi kufafanua kwa mara ya mwisho.
Mwanamke kimaumbile huwezi mfananisha na mwanaume,ndio maana mwanaume anaweza tembea kifua wazi ila je mwanamke anaweza?
Kwahiyo mwanamke akichelewa kuolewa kesha akasemwa ni maumbile ndio yako hivyo.
Kuhusu ndoa kuvunjika tusidanganyane wanaume siku hizi tumeshapewa jina la wanyanyasaji.
Tukija katika suala la mtoto wa nje ya ndoa nadhani unafahamu kati ya baba wa kambo na mama wa kambo nani ana afadhali hilo sitaki kulizungumza.
Kuhusu hao masingle mother hukuwahi kukutana nao nadhani ila ungekutana nao nahisi ungeelewa,kwanza fuatilia sababu za wanawake kuwa masingle mother ni zipi utaelewa lawama zitaenda wapi.
Pia wanaume sie mambo yetu zoelefu yani hatuna mambo mengi pia huwezi fananisha athari ya matendo ya mwanamke na ya mwanaume.
Hivi kupigwa na kumsingizia mtu kesi ya ulawiti hivi vinafanana??
Mwanaume hajawahi play victim,mwanaume akilalamika ana sababu ya kulalamika.Ila mwanamke anaweza akaamua kukufanyia mambo ambayo ukijiuliza awali yake nini hupati tena kwa kutumia mgongo wa sheria inayomlinda.Hiyo ndio ku play victim.
Na siku hizi wamejisahau kabisa wao ni kina nani.
Ila tutawanyo