Mifumo ya makampuni

Mifumo ya makampuni

Je inawezekan ku host Quickbook desktop kweny cloud?
Sijakuelewa vizur swali lako, na pia sina uzoefu sana na feature za Quickbooks. Ila knowldgewise ni kwamba, kuna namna unaweza tumia Quickbooks kama desktop application (standalone) au unaweza tumia web-based application ambayo ni cloud-based
 
Viongozi nilikuwa naomba mnisaidie jina la mfumo unaoweza ku tract kila kitu kweny kampuni kuanzia accountung,inventory,sales and purchases ,etc
📢 TANGAZO LA KIBIASHARA 📢

Dar ITcare - Wataalam wa TEHAMA kwa Mahitaji Yako!

Je, unahitaji suluhisho bora la kiteknolojia kwa biashara au taasisi yako? Dar ITcare tunatoa huduma za kitaalamu na mifumo inayokidhi mahitaji yako, ikiwemo:

Huduma Zetu:

Mifumo ya Biashara:

  • 🏪 Maduka (POS)
  • 💊 Famasi
  • 🍽️ Migahawa na Hoteli
  • 🏬 Maghala (Inventory Management)

Mifumo kwa Mashule na Taasisi:

  • 🏫 Mashule na Vyuo (Mfumo wa usimamizi wa wanafunzi, ada, na mitihani)
  • 🏥 Hospitali na Vituo vya Afya (Rekodi za wagonjwa, huduma za kliniki)

Huduma za TEHAMA:

  • ⚙️ Uwekaji wa mifumo ya kidigitali na vifaa vya teknolojia
  • 🔧 Matengenezo na usimamizi wa mifumo ya TEHAMA
  • 🧑‍🏫 Ushauri wa kiteknolojia na mafunzo ya watumiaji
🔹 Kwa nini uchague Dar ITcare?
  • ⭐ Huduma bora, za haraka, na kwa gharama nafuu
  • 🔒 Ubunifu na usalama wa hali ya juu katika mifumo yetu

Mawasiliano:

📞 Simu: +255 624 576 521 / +255 762 224 357
📧 Barua pepe: techousetanzania@gmail.com
📍 Mahali: Dar es Salaam/Popote Tanzania/Mtandao

Kwa huduma za kitaalamu za TEHAMA, chagua Dar ITcare – Tunajali maendeleo yako!
 
Viongozi nilikuwa naomba mnisaidie jina la mfumo unaoweza ku tract kila kitu kweny kampuni kuanzia accountung,inventory,sales and purchases ,etc
Unahitaji enterprise resource planning (ERP) tools as centralise system. Mfumo maarufu ni SAP 4/HANA ni gharama sana. NSSF, TPA, NBC wamefunga.
 
Viongozi nilikuwa naomba mnisaidie jina la mfumo unaoweza ku tract kila kitu kweny kampuni kuanzia accountung,inventory,sales and purchases ,etc
Nenda Instagram utakuta watengeneza software wanakutengenezea.
 
Je inawezekan ku host Quickbook desktop kweny cloud?
ndio mkuu, ukiitaji kufanya cloud ya mfumo wako wowote uwe unapatikana kwa internet, nicheki pm, pia kama unataka uo mfumo wako kila muamala mteja apate meseji pia inawezekana,na ukitaka taarifa za fedha za kila siku jioni upate text meseji inawezekana
 
Viongozi nilikuwa naomba mnisaidie jina la mfumo unaoweza ku tract kila kitu kweny kampuni kuanzia accountung,inventory,sales and purchases ,etc
Nakushauri itumie Tally ERP, binafsi nimeitumia kusimamia na kuendeshea biashara kubwa sana ya depot ya vinywaji, na kila kitu kilienda sawa, kuanzia stock management, uuzaji na ununuzi, huku ukitoa risiti za mauzo na hati ya kukabidhi mali yaani deliver notes.

Kwasasa nasimamia biashara ya usafirishaji, hapo kila kitu ni mteremko tu, mambo yanaenda vizur mnoo, nimeifanyia kazi pia katika kiwanda kidogo cha uzalishaji hapo pia sikupata shida yoyote.

Yaani ukijua Tally ERP, katika bisahara au mradi wowote hakuna kufeli, labda ushindwe katika upande mwingine wa usimamizi.

Ukihitaji demo za miradi niliyofanyia kazi nipo tayari kukusaidia bila gharama yoyote, ujionee mambo yanavyo kwenda, mawasiliano 0713555991, nipo Dar es salaam
 
Back
Top Bottom