Melxcom991
Senior Member
- Aug 2, 2021
- 101
- 115
Viongozi nilikuwa naomba mnisaidie jina la mfumo unaoweza ku tract kila kitu kweny kampuni kuanzia accountung,inventory,sales and purchases ,etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je inawezekan ku host Quickbook desktop kweny cloud?Unaweza tengenezewa utakao endana na nature ya operations zako.
Japo ilio maarufu ni kama Tally, Quickbooks
Sijakuelewa vizur swali lako, na pia sina uzoefu sana na feature za Quickbooks. Ila knowldgewise ni kwamba, kuna namna unaweza tumia Quickbooks kama desktop application (standalone) au unaweza tumia web-based application ambayo ni cloud-basedJe inawezekan ku host Quickbook desktop kweny cloud?
Mkuu unichek Dar ITcare solutions 0624576521 au techousetanzania@gmail.com upate customized and personalized system kwa ajili ya biashara yakoViongozi nilikuwa naomba mnisaidie jina la mfumo unaoweza ku tract kila kitu kweny kampuni kuanzia accountung,inventory,sales and purchases ,etc
📢 TANGAZO LA KIBIASHARA 📢Viongozi nilikuwa naomba mnisaidie jina la mfumo unaoweza ku tract kila kitu kweny kampuni kuanzia accountung,inventory,sales and purchases ,etc
Unahitaji enterprise resource planning (ERP) tools as centralise system. Mfumo maarufu ni SAP 4/HANA ni gharama sana. NSSF, TPA, NBC wamefunga.Viongozi nilikuwa naomba mnisaidie jina la mfumo unaoweza ku tract kila kitu kweny kampuni kuanzia accountung,inventory,sales and purchases ,etc
Nenda Instagram utakuta watengeneza software wanakutengenezea.Viongozi nilikuwa naomba mnisaidie jina la mfumo unaoweza ku tract kila kitu kweny kampuni kuanzia accountung,inventory,sales and purchases ,etc
ndio mkuu, ukiitaji kufanya cloud ya mfumo wako wowote uwe unapatikana kwa internet, nicheki pm, pia kama unataka uo mfumo wako kila muamala mteja apate meseji pia inawezekana,na ukitaka taarifa za fedha za kila siku jioni upate text meseji inawezekanaJe inawezekan ku host Quickbook desktop kweny cloud?
Nakushauri itumie Tally ERP, binafsi nimeitumia kusimamia na kuendeshea biashara kubwa sana ya depot ya vinywaji, na kila kitu kilienda sawa, kuanzia stock management, uuzaji na ununuzi, huku ukitoa risiti za mauzo na hati ya kukabidhi mali yaani deliver notes.Viongozi nilikuwa naomba mnisaidie jina la mfumo unaoweza ku tract kila kitu kweny kampuni kuanzia accountung,inventory,sales and purchases ,etc