leonard kamalamo
Senior Member
- Apr 24, 2020
- 123
- 70
View attachment 3452243
Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana.
Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa masikini Jeshi letu linajengewa hadi hospitali na Wajerumani huku yenyewe ikikenua tu meno
WAnaowaangusha Wananchi wa Taifa hili na kuchochea Watanzania tuzidi kuwa masikini ni TISS, JWTZ, TAKUKURU na Mahakama.
No Reform
DuuuuuuhView attachment 3452243

No Reforms No Election ✊️✌️
Ondoa hiyo ID fake ili wakujue vizuri hao wanaowaangusha wananchiView attachment 3452243
Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana.
Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa masikini Jeshi letu linajengewa hadi hospitali na Wajerumani huku yenyewe ikikenua tu meno
WAnaowaangusha Wananchi wa Taifa hili na kuchochea Watanzania tuzidi kuwa masikini ni TISS, JWTZ, TAKUKURU na Mahakama.
No Reforms No Election ✊️✌️
We Mbwa mlaumu babako kwa umaskini wenu, we ulijaribu kuomba kuendesha huo mgodi? Umaskini siyo sifa we zombie, ulitaka apewe naniView attachment 3452243
Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana.
Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa masikini Jeshi letu linajengewa hadi hospitali na Wajerumani huku yenyewe ikikenua tu meno
WAnaowaangusha Wananchi wa Taifa hili na kuchochea Watanzania tuzidi kuwa masikini ni TISS, JWTZ, TAKUKURU na Mahakama.
No Reforms No Election ✊️✌️
Aibu ni mpumbavu km ww kuzaliwaHii ni AIBU kubwa sana.
chafuView attachment 3452243
Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana.
Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa masikini Jeshi letu linajengewa hadi hospitali na Wajerumani huku yenyewe ikikenua tu meno
WAnaowaangusha Wananchi wa Taifa hili na kuchochea Watanzania tuzidi kuwa masikini ni TISS, JWTZ, TAKUKURU na Mahakama.
No Reforms No Election ✊️✌️
Hujawahi kuwa na akili we bwegeNikiongea humu ujumbe unawafikia wote. Nikienda lugalo utawafikia wa lugalo tu.
Hao wengine unawaonea tu mkuu. Wanaowaangusha wananchi wa taifa hili JWTZ tu siku wakiamua hao basi mambo yote yatakaa sawa katika taifa hili.View attachment 3452243
Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana.
Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa masikini Jeshi letu linajengewa hadi hospitali na Wajerumani huku yenyewe ikikenua tu meno
WAnaowaangusha Wananchi wa Taifa hili na kuchochea Watanzania tuzidi kuwa masikini ni TISS, JWTZ, TAKUKURU na Mahakama.
No Reforms No Election ✊️✌️
Mkiambiwa ukweli muwe wasikivu, na pia muwe tayari kubadilika! Na siyo kujivunia huu utekaji, utesaji na mauaji wenu! kama njia sahihi ya kuwanyamazisha wakosoaji na wapinzani wenu. Huu ni upumbavu.Ondoa hiyo ID fake ili wakujue vizuri hao wanaowaangusha wananchi
Sijui fake id itamsaidia nini?Mkiambiwa ukweli muwe wasikivu. Na siyo kujivunia huu utekaji, utesaji na mauaji wenu! kama njia sahihi ya kuwanyamazisha wakosoaji na wapinzani wenu. Huu ni upumbavu..
Mimi nisipokuwa na akili basi ukoo wenu mzima pamoja na wewe ni matahira kabisa.Hujawahi kuwa na akili we bwege
Hawa wahuni wana ujinga mwingi sana. Wanafikiri kuua, kutisha, kupoteza, kuteka, kufunga na kunyanyasa watu ndiyo suluhisho la madhaifu yao! Hovyo kabisa.Sijui fake id itamsaidia nini?
Wamekaa kutaka kuua sauti zote zisizokubaliana na upuuzi na ufisadi wao.
View attachment 3452243
Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana.
Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa masikini Jeshi letu linajengewa hadi hospitali na Wajerumani huku yenyewe ikikenua tu meno
WAnaowaangusha Wananchi wa Taifa hili na kuchochea Watanzania tuzidi kuwa masikini ni TISS, JWTZ, TAKUKURU na Mahakama.
No Reforms No Election ✊️✌️
Tuna Wanajeshi hopeless sana kwenye hii nchi. Ndo mana Kagame anajipigia tu kama Pombe ya ngomani.😲😲🇹🇿🇹🇿😭😭😭
Nchi yenye raslimali kama Tanzania lakini viongozi wanaabudu ''vya bure'' unaweza kuwaambia hivyo na wakakuelewa? Wana akili za kuelewa mambo ya maana?Nenda Lugalo kawaambie maneno haya kuwa mnaliangusha Taifa acha kujificha humu.
Hao wengine unawaonea tu mkuu. Wanaowaangusha wananchi wa taifa hili JWTZ tu siku wakiamua hao basi mambo yote yatakaa sawa katika taifa hili.