Migogoro inayoendelea soko la Mawenzi mkoani Morogoro hakuna mtetezi wa kupaza sauti, wafanyabiashara wananyanyasika mkuu wa mkoa uko wapi?

Migogoro inayoendelea soko la Mawenzi mkoani Morogoro hakuna mtetezi wa kupaza sauti, wafanyabiashara wananyanyasika mkuu wa mkoa uko wapi?

ZOPPA

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
2,729
Reaction score
2,891
Mimi ni moja kati ya
wafanyabiashara wa soko la Mawenzi lipo Morogoro mjini kata ya uwanja wa Taifa

ili soko lina miundombinu mibovu kume kuwa na migogoro baina ya Manispaa na wafanyabiashara wanataka kutuamisha pasipo kufuata taratibu

Tumeshapeleka sana malalamiko kwa mbunge na mkuu wa wilaya hakuna aliyetusikiliza
 
MIMI ni moja kati ya
wafanya biashara wa soko la mawenzi lipo morogoro mjini kata ya uwanja wa taifa

ili soko lina miundo mbinu mibovu kume kuwa na migogolo baina ya manispaa na wafanya biashara wanataka kutuamisha pasipo kufuata talatibu tumesha peleka sana malalamiko kwa mbunge na mkuu wa wilaya akuna alie tusikiliza
Viongozi wachukuliwe hatua
 
Abood si yupo mmemchagua miaka nenda miaka rudi kwa mbwembwe mwambien asiwaletee magari ya msiba tu hata kero zenu awatatulie tu


Na ktk mkoa ulioshinda kwa asilimia 100 si madiwani, wabunge wenyekiti ndo huo kijani imetawala tu so hapo kesi inauzwa kwa kaisari
 
Hii nchi kwenye planning ni zero kabisa. Imagine eti wametumia mabilioni meengii kujenga soko moja tuu, soko kuu kule mjini kabisa, mbaya zaidi stendi ya daladala wakaipeleka porini kule Mafiga. Sasa jiulize kwa jinsi mji wa Morogoro ulivyotawanyika ni watu wangapi wanaweza kufunga safari kwenda soko kuu kupata mahitaji? Kwa nini hayo mabilioni yootee yasingetumika kuboresha masoko matatu (3)ikiwemo Mawenzi ili wafaidike watu wengi??
 
Back
Top Bottom