Hii nchi kwenye planning ni zero kabisa. Imagine eti wametumia mabilioni meengii kujenga soko moja tuu, soko kuu kule mjini kabisa, mbaya zaidi stendi ya daladala wakaipeleka porini kule Mafiga. Sasa jiulize kwa jinsi mji wa Morogoro ulivyotawanyika ni watu wangapi wanaweza kufunga safari kwenda soko kuu kupata mahitaji? Kwa nini hayo mabilioni yootee yasingetumika kuboresha masoko matatu (3)ikiwemo Mawenzi ili wafaidike watu wengi??