Migogoro na mpenzi wangu haiishi

Kuna wakati anakuwa mkali kama nyati aliyejeruhiwa
 
Muache njoo kwangu, sina kelele utakua kama mfalme......
 
Kuna wakati mwingine ukiwa naye barabarani, anakubebesha pochi 😀
Mkuu mbona hilo ni jambo la kawaida

Wakati tumepata first born na Bibi yenu Mwaka 47 nilikuwa namsaidia kumbeba mtoto mgongoni kabisa kwenda naye Kliniki Zahanati.

Kumbuka nyakati zetu Zahanati zilikuwa mbali sana na hatukuwa na magari/Uber/bolts/ ama Bajaj useme utaita ikupeleke

Kumbebea Pochi ni sehemu ya mapenzi na kumbebisha mpenzi wako
 
Sasa mkuu, huyu ni mchepuko anataka kunipa majukumu hayo yote 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…