Migogoro na mpenzi wangu haiishi

Migogoro na mpenzi wangu haiishi

Umeshasema mchumba wako/Mkeo ni mjamzito. Ujauzito huwa unakuja na mabadiriko mengi ya mwili ikiwemo kutopenda kushiriki ngono, kuchagua aina ya vyakula, visirani n.k

Kuna wenzio Wake zetu wakibeba mimba ndiyo tunafukuzwa chumbani kabisa, tunaambiwa tunanuka ama hajisikii kutuona kabisa

Pamoja na changamoto hizo, bado tunawapenda na hatuna mpango wa kuwapiga Chini kama wewe unavyo plan..
Kuna wakati anakuwa mkali kama nyati aliyejeruhiwa
 
  • Leo atakwambia hivi kesho litatokea lile.​
  • Leo atakuambia ubebe pochi yake, kesho atakuambia umuogeshe​
  • Leo atakupiga kiatu, kesho atakunyima tendo.​
  • Leo atataka kula hiki, kesho atataka kile.​
  • Sasa ananipangia siku za kufanya tendo​
  • Tatizo anasema ninamfaidi sana, kwa sababu natumia muda mwingi bila kumaliza mchezo.​
  • Nilitamani nimuache, ila nahisi ni kutokana na hali ya ujauzito alionao; ila uzalendo ukinishinda, napiga chini wakuu.​
Muache njoo kwangu, sina kelele utakua kama mfalme......
 
Kuna wakati mwingine ukiwa naye barabarani, anakubebesha pochi 😀
Mkuu mbona hilo ni jambo la kawaida

Wakati tumepata first born na Bibi yenu Mwaka 47 nilikuwa namsaidia kumbeba mtoto mgongoni kabisa kwenda naye Kliniki Zahanati.

Kumbuka nyakati zetu Zahanati zilikuwa mbali sana na hatukuwa na magari/Uber/bolts/ ama Bajaj useme utaita ikupeleke

Kumbebea Pochi ni sehemu ya mapenzi na kumbebisha mpenzi wako
 
Sasa mkuu, huyu ni mchepuko anataka kunipa majukumu hayo yote 😀
 
Back
Top Bottom