Migogoro wa ardhi Kijiji cha Nyamkonge kata Nyahongo Wilaya Rorya Mkoa Mara

Migogoro wa ardhi Kijiji cha Nyamkonge kata Nyahongo Wilaya Rorya Mkoa Mara

Benard bunde

New Member
Joined
Sep 23, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Mwenyeskiti Kijiji cha nyamkonge kata Nyahongo wilaya rorya kwa kushirikiana na diwani pamoja na mbunge , walihamua kupindisha ramani nakupitisha barabara kwenye makazi ya wananchi kwakutumia mabavu nakufukia mazao Yao nakuwaaribia muundo mbinunkwenye viwanja ivyo.

bila kulipwa fidia yoyote ata walipo lalamika kwa mkuu wa wilaya hawakusikilizwa kwani diwani ,mbunge pamoja na mwenyeskiti wa Kijiji wali wazuia kufika kuongea na mkuu wa wilaya, ivyo hawakupata usaidizi wowote ivyo naomba jamii forum kama chombo cha habari chakijamii weweze kuizungumzia swala hili ili Hawa wananchi weweze kupata haki Yao.

Nami nitatoa ushirikiano wakatiwowote matakapo itaji ushirikiano yangu, hao wananchi hao ni, Omuga Omolo Miero, Okelo Benja Machira na Anastazia Samwel Bunde
 
Back
Top Bottom