Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Naona umekuwa kama Magufuli.Naunga mkono hoja, hawa matapeli wanakwepa Kodi harafu wanalazimisha utaratibu wao.
Hawa wapewe Ultimum ya kufungua maduka wakikaidi washughulikiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umekuwa kama Magufuli.Naunga mkono hoja, hawa matapeli wanakwepa Kodi harafu wanalazimisha utaratibu wao.
Hawa wapewe Ultimum ya kufungua maduka wakikaidi washughulikiwe
Dewji na bashe wameingia mitini na zaidi ya billion 500 za tender ya sukariCcm na Yanga...usimung'unye maneno...
"maroli" ndiyo nini?Jana nimekutana na maroli yenye yeboyebo mjini Bukoba. Nimeambiwa yanaenda uganda halafu yebo zinarudi Tanzani kupitia mlango wa nyuma
Anaegoma agome asiyegoma asigome.Hivi mgomo umefikia wapi,?? Mm na mchepuko wangu tutakuwa barabarani kesho.
Kina GsCm haoKwa Mtazamo wangu
TATIZO LA KARIAKOO NI ZAIDI YA WAFANYABIASHARA,WACHUUZI..LETS BE SERIOUS.
Tatizo la kariakoo haliwezi Kwisha ikiwa total supply chain ya mizigo inayouzwa kariakoo isiporekebishwa au kudhibitiwa kupitia maamuzi magumu na kutooneana haya wala aibu..
Bidhaa nyingi zinazouzwa kkoo zinaingizwa (Imported) toka China,India,Uturuki,Thailand,Vietnam,Zambia,Uganda,etc..Mfumo wa uingizaji na ulipiaji kodi wa mizigo husika ndio mzizi wa shida na tatizo lililopo na litakalokuwepo..
Cartel inayoratibu Logistics na supply chain ya mizigo ya wafanyabiashara wa karikoo isipodhibitiwa kila nyakati tutaona fukuto na migomo isiyohitaji siasa Bali utashi wa maamuzi magumu kudhibiti wahujumu uchumi tunaowalinda..
Mathalani,Mfanyabiashara akiagiza mzigo wa viatu Kwa kontena na kulipa ushuru stahiki kisha kuwa na nyaraka zote Za kikodi (Import duties,Port charges,Wharfage,VAT) inamgharimu milioni 45….NOTE:- Ila akiagiza mzigo huo huo kwa kutumia Logistics Cartels inamgharimu Milioni 15 tu pasipo nyaraka zozote lakini Ana uhakika wa kufikishiwa mzigo dukani au warehouse kwake pasipo usumbufu..
Sasa wale wafanyabiashara waliokuwa wakikomaa na kufuata taratibu stahiki wamejikuta wakishindwa kushindana ktk soko na kufirisika ama kufa kibiashara sababu ya ughali wa bidhaa dhidi ya wale wanaotumia Logistics Mafia..
On the other hand wanaotumia huduma za logistics cartel au mafia inawawia Vigumu sana kufanya compliance za kikodi sababu ya kukosa nyaraka muhimu kussuport mapana ya stock zao..Mauzo yao,returns zao..Hapa ndio kwenye shidaa haswaa…Wengi wana stock kubwa kuliko vielelezo vya manunuzi ya stock husika..Wamegeuka wachuuzi..Wanaouza ambacho hawana nyaraka Za wametoa wapi..SHIDA.
Logistics Cartel/Supply chain Mafia:-Ni kundi hatari lenye nguvu kupitia wanasiasa wakubwa waliopo na wastaafu..Wana ukwasi mkubwa na umaarufu mkubwa ktk Kiwango cha kuogopeka na Wakubwa wa TRA,Polisi,Etc..Wana nguvu mnooo ya kufanya wakubwa ktk mamlaka Za kodi watumbuliwe,Wafanyakazi wahamishwe,Wawe demoted..Wapate Stroke..Nina hakika hata CG wa TRA anawaogopa..Hana la kuwafanya..Inasemekana baadhi ya viongozi ni marafiki wakubwa..
Cartels hizi zimehodhi Supply chain Za uagizaji bidhaa,usafirishaji,Ulipaji kodi,Udanganyifu (under declaration&Falsa Declarations),Uzungushaji mizigo (Taarifa Za kampuni Za tracking devices Za mizigo ya transit zina mengi)..Wanamiriki makampuni ya uagizaji,Usafirishaji,Bonded Warehouses,ICD’s,CFS..yaani acha tu..
Kwa hakika tunapoteza kodi nyingi sana zinazoingia mifukoni mwa wachache tunaowaimbia mapambio ya utajiri na ubilionea huku wachache wakikamuliwa hata kuzirai kibiashara..Bila maamuzi magumu na dhabiti tutaendelea kukwama na kuumiza wasiostahili..
Tukiamua Tunaweza..Viongozi wenye dhamana Simameni kwenye haki na ukweli..
Samia ana akili sana,upinzani wameandamana na cha maana hamna,yule kichwa maji jiwe alikua anawapa kiki hao upinzaniHao ni kucheza nao hivyo hivyo, wakigoma serikali wanakaa nao chini, wanarudi kufunguwa maduka, simply wapo "bored" tu.
Chalamila kawaambia maneno mazuri sana leo, kawaambia wanogoma watalindwa na serikali na wasiwaingilie wasiogoma nao pia wanalindwa na serikali. Kwa ufuipi kawaambia wanaogoma wagome, wasiogoma wasigome, hasara ni kwa wenye kugoma, watagoma na kodi watalipa.
Tatizo nini, hata mama aingilie haki za watu za kugoma? Wagome tu lakini wasitishe au kulazimisha wasiotaka kugoma.
Kwa mama, ukitaka kugoma, goma, utasikiliswa, ukitaka kufanya maandamano fanya utasikilizwa.
Hivi maandamano yua chadomo yameishia wapi? Si unaona falsafa ya maa ya kuwawachia wafanye maandamano, kila mtu kabaki shwari.
Mama Samia apewe hongera sana kwa mageuzi ya uongozi anayoyafanya.
Mimi nashangaa, huu mfumuko wa mizigo mingi ya kwenda Zambia miaka ya karibuni ni kitu cha ajabu, japo huko ndio napatia riziki.Bidhaa nyingi zinazouzwa kkoo zinaingizwa (Imported) toka China,India,Uturuki,Thailand,Vietnam,Zambia,Uganda,etc..Mfumo wa uingizaji na ulipiaji kodi wa mizigo husika ndio mzizi wa shida na tatizo lililopo na litakalokuwepo..
Wafanyabiashara maCCM yatafungua maduka keshoAnaegoma agome asiyegoma asigome.
Wanaogoma wagome, wasiogoma wasigome. Wanaoandamana waandamani wasioandamana wasiandamane.Wafanyabiashara maCCM yatafungua maduka kesho
Tutaweka ulinzi shirikishi, atakayefungua tutashughulika naye kama msalitiWanaogoma wagome, wasiogoma wasigome. Wanaoandamana waandamani wasioandamana wasiandamane.
Hujamsikia Chalamila leo, kasema wanaofunka maduka wote wasiwe na wasiwasi wafunge watalindwa na hali kadhalika wataofunguwa wasiingiliwe walindwe.
Tatizo nini na ndiyo demokrasia hiyo?
Ukimuona huyo gsm ujue mtoto wa mjini yupo pale 🙄😳Cartel unayoongelea ni gsm sasa jiulize juanzia yamga mpaka kina mwana fa, mpka kwa mkubwa unaweza kupambana na gsm. Hakuna anayeweza. Wao ndio wanapanga nani awe port manager, nani anafaa bandarini na long room
😳Wanaogoma wagome, wasiogoma wasigome. Wanaoandamana waandamani wasioandamana wasiandamane.
Hujamsikia Chalamila leo, kasema wanaofunka maduka wote wasiwe na wasiwasi wafunge watalindwa na hali kadhalika wataofunguwa wasiingiliwe walindwe.
Tatizo nini na ndiyo demokrasia hiyo?
Na watoto wa mujini 🙄😳Kina GsCm hao
Halafu ukienda Muhimbili eti kumuona Dakitari siku za wikiendi ni bei tofauti na siku za kawaida za kazi 🙄😳Tatizo kubwa la Serikali ni kutoza pesa kubwa ili wapate kununua V8 na pikipiki za CCM, waangalie jinsi ya kuboresha mazingira ya biashara.
Jamaaa umeandika kitu kikubwa sana.! Lakin sidhani kama inaweza kuwa pia ni sababu ya msingi mana wao wanataka kodi kariakoo zisiwepo kabisa kwa sababu mzigo ulishalipiwa kodi bandarini. Wanaona ni double taxation.Kwa Mtazamo wangu