Migomo Kariakoo: Serikali kuendelea kulea utamaduni wa kulinda wahalifu utakutokea puani

Thibitisha nani mwalifu?
Buku 7 mwaka huu zimeanza mapema MNO




KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kina GsCm hao
 
Samia ana akili sana,upinzani wameandamana na cha maana hamna,yule kichwa maji jiwe alikua anawapa kiki hao upinzani
 
Bidhaa nyingi zinazouzwa kkoo zinaingizwa (Imported) toka China,India,Uturuki,Thailand,Vietnam,Zambia,Uganda,etc..Mfumo wa uingizaji na ulipiaji kodi wa mizigo husika ndio mzizi wa shida na tatizo lililopo na litakalokuwepo..
Mimi nashangaa, huu mfumuko wa mizigo mingi ya kwenda Zambia miaka ya karibuni ni kitu cha ajabu, japo huko ndio napatia riziki.
Lakini Zambia ilijulikana kwa wenye malori ya mafuta tu, lakini siku hizi ni makontena ya kutosha, watu wanawapanga Wazambia au pia kuna wengine wamefungua makampuni Zambia, ili mizigo ionekane inaenda Zambia, halafu inarudishwa tena TZ kimagumashi.
 
mleta mada na wenżako mnaleta uchawa na siasa kwenye biashara za watu, inaonekana hamjui hata kwanini wamegoma, mngekuwa na akili kidogo tuu msingeandika mliyoandika
 
Wafanyabiashara maCCM yatafungua maduka kesho
Wanaogoma wagome, wasiogoma wasigome. Wanaoandamana waandamani wasioandamana wasiandamane.

Hujamsikia Chalamila leo, kasema wanaofunka maduka wote wasiwe na wasiwasi wafunge watalindwa na hali kadhalika wataofunguwa wasiingiliwe walindwe.

Tatizo nini na ndiyo demokrasia hiyo?
 
Tutaweka ulinzi shirikishi, atakayefungua tutashughulika naye kama msaliti
 
Cartel unayoongelea ni gsm sasa jiulize juanzia yamga mpaka kina mwana fa, mpka kwa mkubwa unaweza kupambana na gsm. Hakuna anayeweza. Wao ndio wanapanga nani awe port manager, nani anafaa bandarini na long room
Ukimuona huyo gsm ujue mtoto wa mjini yupo pale 🙄😳

Au siyooo ????!
 
😳
 
Na watu wanapiga pesa kweri kweri hata Mheshimiwa Shabiby analijua hilo !
Tutafika mbinguni tumechoka sana !
Hata maji Dar ni shida kweri kweri !

Jamaa mmoja alisema Mtanikumbuka 😳🙄👍
 
Tatizo kubwa la Serikali ni kutoza pesa kubwa ili wapate kununua V8 na pikipiki za CCM, waangalie jinsi ya kuboresha mazingira ya biashara.
Halafu ukienda Muhimbili eti kumuona Dakitari siku za wikiendi ni bei tofauti na siku za kawaida za kazi 🙄😳
Hii ni kweli au si kweri ???!
 
Jamaaa umeandika kitu kikubwa sana.! Lakin sidhani kama inaweza kuwa pia ni sababu ya msingi mana wao wanataka kodi kariakoo zisiwepo kabisa kwa sababu mzigo ulishalipiwa kodi bandarini. Wanaona ni double taxation.

Sip wote wanaogoma wanapenda ni kuwa tu wanashinikizwa na kikundi maalum kwa maslah ya kikundi hicho kwa kuwa hakipati manufaa kinayo yataka.


Namtafuta mtu mwenye ushawishi wa hali ya juu hivi kuambia watu wagome ? Kuna kitu nyuma yake abinywe kwanza korodani aseme nani anamtuma

Alafu wafanyabiashara kariakoo mshatuibia kwa muda mrefu sana na bidhaa zenu za chini sijui wapi.kitu mnanunua huko elfu 10 mnakuja kutuuzia laki 1 na bado mnaona serikali ina wanyonya na utitiri wa kodi. !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…