Migomo Kariakoo: Serikali kuendelea kulea utamaduni wa kulinda wahalifu utakutokea puani

Mapato ya idara ya forodha yanaweza kuwa mara 10 ya yanayopatikana sasa..

Kuna mizigo mingi inaingizwa na syndicate na kuonyesha inapita kwenda nchi jirani na kutolipa kodi (Transit imports) inaishia kubaki humu Kwa maafisa wachache kupewa sehemu ya kodi..Nyaraka kugongwa mipakani kuonyesha mizigo imevuka..

Mtandao ni mkubwa mnoo na unajulikana..Taarifa zipo..Kodi zinaliwa na kutafuna na wachache..
 
Aisee umerudi! sasa uko na mama wakati ule alikuwa na Magu! Hivi umeshajiuliza kodi kubwa kubwa na mikopo mingi kuliko mapato ya kodi vinaendaga wapi? Unafuatilia suala na Mpina - Bashe saga? Au wewe ni team praises tu? Ulisema lolote kuhusu bandari zetu? Mbuga zetu je? misitu ya blue carbon je?
Ulimuunga mkono yule muovu JPM Allah akamuwahi sasa huyu Bi kzmkz wamtakiani wewe mdada?
 
Kama huzioni hpspitali mpya, huzioni barabra mpya, huioni reli mpya, huoni madarasa mapya, huoni ndege mpya, huoni viwanja vipya vya michezo, huoni mikopo mipya ya wanafunzi wa vyuo vikuu, huoni maandamano mapya ya chadomo? Huoni masoko mapya? Huoni viwanda vipya? Huoni umeme mpya?

Kama huyaoni yote hayo basi hata kusikia husikii?
 
Kwa mabadilishano na raslimali zetu kuu? Bandari zetu zote!, Misitu yetu yote, mbuga zetu kwa kiasi cha kufurusha raia kama digdig? Na matozo juu pamoja na hongo za pikipiki zenye gharama ya 54000,000,000 TAS? Na kuwalinda majambazi kama bashe? Na kashfa zote za repoti za CAG? Tunaongozwa na majambazi! jambazi mkuu akitokea kizmkaz! ATAFURUSHWA tu kama tukishindwa Allah atafanya yake tu!
 
Silent Ocean
 
Serikali imeendelea kupuuza hoja za wafanya biashara walizo zitoa na hii itapelekea mgomo mwezi ujao kua mkali zaidi kuliko hivi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…