Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 236
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndio naanza kusikitika mapedejee wa Break point wanazengea zenge.......JPG[/IMG]![]()
Baraza la chuo kikuu cha dar es salaam kimeamua kuwasimamisha wanafunzi wanaosoma udsm pamoja na vyuo vishiriki kwa kushiriki katika mgomo 'haramu' wa kupinga malipo ya 40%. Wanafunzi hawa wamesimamishwa masomo kwa muda usiojulikana.
Nilipokuwa kwenye vyuo vya kibongo, karibu na kipindi cha kumaliza semester au term migomo ilikuwa inaanza kwa nguvu zote.
Hivyo kuna correlation kubwa kati ya vipindi vya mitihani na migomo.
Vilevile suala la watu kusoma bure miaka ya zamani lisiletwe katika kipindi cha sasa. Hivyo kama serikali ilitumia mabilioni ya pesa kumsomesha Prof: Maghembe sio lazima iendelee kufanya hivyo kwa sasa.
Migomo ni sehemu ya maisha kwa wanafunzi kujifunza kulalamika na ku-struggle. Tuliosoma nje ya nchi hatukupata shida za migomo lakini tunalea machizi kulipia gharama za shule.
Pamoja na matatizo mengi yanayosibu taifa letu kwa sasa moja wapo ni hili la siasa kushamiri ktk kila sekta hasa hii ya elimu ya juu ( Vyuo vikuu).
Nina sema hivi kutokana na kua,
Kwanza kuongeza kwa ghafla kwa intake ya wanafunzi ambao wanatakiwa kujiunga na elimu ya juu ambacho sio kitu kibaya kama kiingeenda hand in hand na mapanuzi ya miundo mbinu na kitendea kazi vya hapo chuoni kama mabweni, madarasa , maabara na mabwalo ,vyoo n.k lakini inanyesha dhahiri mi dhamira ya wazi ya watu au serikali kujiongezea sifa kua sasa tuna wanafunzi wengi ktk vyuo. cha kushangaza viongozi wa vyou hivyo wanakiri kuwa wao si waotamka ni watu wangapi wataingia chuo kwa mwaka fulani sasa ni nani anafanya kazi hii?????Hii naiita siasa ktk elimu
Pili, ni mfumuko wa vyou vikuu vingi hapa Tz kiasi ambacho inapelekea kushuka kwa elimu kwasababu wataaluma ni wachache ukilinganisha na vyou vyenyewe sasa hivi lecturers wakua na tuitions ua partime ktk vyuo mbalimbali
hivyo hawatulii leo kasfiri ameibukia dodoma anafundisha weekend yupo iringa na jumatatu lazima aripoti back to UDSM , huko kote wa mtaala tofauti na hata kama ni mtaala mmoja basi wapo ktk topic tofauti ambapo ina week atakiwa afuatile kwa umakini topics 3 or more atoe assignments na kausahihisha makaratasi zaidi ya 1000 kutoka ktk ajira yake na partime juu, je? mtu huyu anawezaje? solution ni kulipua au kuto asssignment moja kwa semester au kutosahihisha kabisa. haya ni madhara ya mkandamizo wa siasa
Tatu ni siasa ya aina nyingine ya kuanzisha bodi ya mkopo amabayo haiusianai kabisa na chuo, kiasi kwamba hata hawana branch ktk hivyo vyuo, kama ni mwanafunzi anahitaji kufuatilia malipo fulani basi inampasa aache masom aende ktk ofisi za bodi hata kama chuo kiko mikoani aje DSM kufuatilia haki zake, huu ni uptevu wa muda na pesa juu!!! kingine bodi na mfumo wake wa akutoa mikopo kulingana vigezo amabavyo ni vigumu kufutilia aua kutoa maamuzi ya uhakaika mfano unatakiwa ujaze kazi za wazazi wako ambayo ni obviuos kwa sababu wanahitaji mkopo kila mmoja anadika mkulima au mama wa nyumbani kitu amabacho huwezi kuprove otherwise!!!! au kufuatilia shule ulizosoma kama ni za hali ya juu basi uanowezo, Je ni wanagapi wamelipiwa shule na kanisa au msikiti je anyimwe mkopo kisa amemaliza ktk shule nzuri ya sekondari?
Wakati bodi ilipoanzishwa na ilikurupuka na kuanza kukopesha watu wote kwa wakti mmoja ili hali wengine walikua ktk vyou vikuu binafsi kwa maana walikua na njia ya kuijlipia ndio maana walikua huko sasa kutoa mikopo kwa watu wote at a go nayo ikafanya hata wale ambao walikua na uwezo wa kujilipia nao kchukua mkopo hence wakapata watu wengi kulivyotegemea ndo hapa tunaishia kugawana kidogo kidogo,
Kuna mengi ya kuongelea ktk bodi hio ila machache ni haya ambayo kwa mtazamo wangu yavuruga sana mpangilio wa elimu hapa nchini na haya yamechangiwa sana na siasa mbovu ya Tanzania.
hoja yangu
Thi walikuwa wamekaribia kufanya mitihani thatha itakuwaje?makubwa haya
wewe ulisoma miaka gani hiyo ambayo wanafunzi walikuwa wakigoma kila mitihani inapokaribia?
I am not sure kama nilishawahi kwenda shule.
Zakumi said:Nilipokuwa kwenye vyuo vya kibongo, karibu na kipindi cha kumaliza semester au term migomo ilikuwa inaanza kwa nguvu zote.
Hivyo kuna correlation kubwa kati ya vipindi vya mitihani na migomo.
Vilevile suala la watu kusoma bure miaka ya zamani lisiletwe katika kipindi cha sasa. Hivyo kama serikali ilitumia mabilioni ya pesa kumsomesha Prof: Maghembe sio lazima iendelee kufanya hivyo kwa sasa.
Migomo ni sehemu ya maisha kwa wanafunzi kujifunza kulalamika na ku-struggle. Tuliosoma nje ya nchi hatukupata shida za migomo lakini tunalea machizi kulipia gharama za shule.
Zakumi said:Nani amesema ongezeko la vyuo linashusha viwango wa elimu katika nchi. Nimesoma katika nchi ambayo mabweni na mabwalo ya wanafunzi wa university na High school yalikuwa pamoja. Wakati wa lunch break: wanafunzi wa university, high school na maprofessor walikuwa wanakula pamoja na chakula kilekile. Tofauti ilikuwa ni materials ya darasani tu.
Bongo kuna concept ya upgrade: Aliye sekondari anataka kula vizuri zaidi kuliko wa primary. Aliyepo university anataka huduma bora kuliko aliye high school.
Nani amesema ongezeko la vyuo linashusha viwango wa elimu katika nchi. Nimesoma katika nchi ambayo mabweni na mabwalo ya wanafunzi wa university na High school yalikuwa pamoja. Wakati wa lunch break: wanafunzi wa university, high school na maprofessor walikuwa wanakula pamoja na chakula kilekile. Tofauti ilikuwa ni materials ya darasani tu.
Bongo kuna concept ya upgrade: Aliye sekondari anataka kula vizuri zaidi kuliko wa primary. Aliyepo university anataka huduma bora kuliko aliye high school.
Usikurupuke hatushindani kujibu hoja soma tu hoja yangu nina hakika inajitosheleza.
Kwa faida yako,
ongezeko liende samabamba na ongezeko la walimu na miundombinu nk.
Moja ya posts zako hapa umeandika hivi:
Na kisha ukaandika hivi:
Ndio nilisoma vyuo vya Tanzania. Na pesa nilizopewa mwanzo wa semeter nilinunua Samsonite, Friji n.k Na mwisho wa semester nilikuwa broke.