Migomo vyuo vikuu imeangusha serikali; Marekani siyo kisiwa, la sasa halimwachi salama!

1714502302561.png

Wamevaa ki Arafat Arafat
 
Mbona "tags" zimekuwa nyingi sana!??

1. Ilikuwa ni katika kumkumbuka jabali la muziki na wimbo wake Vicky:

Vicky mtoto wa mama,
Vicky mbona umaeadimika?
Vicky mbona huonekani?

Hata kwenye magoma hutaki kufika?

2. Ukiona tag zimekuwa nyingi ujue Vicky tuliyekuzowea kwenye magoma utakuwa umeadimika.

3. Hapo #2, kwa swali hiiiiiii .. iii kama muamala, imethibitishwa. Vicky kumbe yupo viwanja tu.

4. Au hupendi tujue hiiiiiii. .. ii ipi ni ya yupi mkuu?

5. Hata hivyo naandaa uzi kamili kumhusu Vicky - naye jabali la muziki, Marijani Rajabu.
 
Wasipokaa sawa na wao watatafutiwa hifadhi Rwanda

1. Kwamba wao ni wajinga ila sisi, siyo? Mtanzania kwenye ubora wako:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

2. Kama Yale mengine mawili haya ni tofauti tu za majina ya wajumbe:

f) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote.

g) Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.
 
Umbulula wa kung'an'ania ni waarabu tu ndio wanaandama inaonyesha jinsi IQ ya wabongo zilivyojaa tope na kamasi
Yaani hao wakimbizi wa kiarabu ndio wafunge vyuo vyote hivi
Kweli mtu mweusi ni nyani alichangamka
View attachment 2977874

1. Hao ni wale wafia ukristo kazini au ile mimbumbu mijuaji kwenye ubora wao:

f) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote.

g) Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.

2. Kilichopo hapa ni kujitoa kimasomaso kuwa nao wapo kumbe:

"Mwendo ni ule ule pendwa, kimya kimya: hiiiiiii .. III!"

3. Huyo kama yule mwisraeli uchwara MK254 na wale wengine kama kina Allen Kilewella, Faana na wakiona wamekuwa tagged mioyo inadunda "puuuh!" Wamebadilisha viwanja kwenye magoma hawaonekani, wengine; denoo JG wamegeuka makocha wekundu wa msimbazi na wananchi!

4. Watu wa aina hii kwa Hakika ni mzigo sana Kwa taifa na hasa kwenye vyama vya siasa na zaidi sana chama kipigania haki, CHADEMA:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

5. Tatizo kubwa kutojitambua wanataka au hawataki Nini, ila ruzuku, ubunge, udiwani au positions. Kwa hayo watafanya kila kitu kujitafutia uhalali ali mradi mkono uende kinywani.

6. Kazi kweli kweli!
 
Full of tags but worthless argument!!

Hayo maandamano yangekuwa yanatokea Tehran kuiunga mkono Marekani sasa hivi mitaa ya mji huo ingekuwa imetapakaa maiti na michuruziko ya damu mithili ya mifereji ya maji.

Marekani kuna Demokrasia sana.
 
1. Vipi haina ruzuku, maokoto, prospects za ubunge au udiwani?

2. Ukombozi na njaa + uchawa:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

3. You will never have peace in CHADEMA.

4. Na kutoka, hatutoki!

5. Bure kabisa!
 
Hapa USA wanaonesha nini maana ya kuheshimu UHURU WA MAONI

Just imagine kungekuwa na watu wanaandamana pale Iran kupinga HAMAS..... just imagine
 
1. Vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu ni sehemu nyeti kwa usalama wa taifa kama ilivyo kwa jeshi na sehemu zingine kama hizo.

View attachment 2977145
"Columbia University students say protest highlights ‘Bigger cause’

"The students remain defiant and they remain here in the campus.

"Hundreds of students have not only been carrying out a sit in-in the middle of campus – but also protesting against genocide (in Gaza) and they have lots of demands."

2. Ni ukweli usiofichika kuwa "bongo" bora kabisa katika nchi katika kizazi husika hupatikana katika vyuo vikuu.

View attachment 2977149
They say would like to see financial transparency from this university. They would like to see university funds, for example, not being invested in companies that profit from the war. They would also like to see an amnesty for the students and faculty who have been disciplined. Those are their demands.

3. Ni katika mataifa ya hovyo tu ambako huwabagaza wasomi wao; kwenye mataifa yanayojitambua vyuo vikuu husikilizwa kwa utatuzi wa changamoto zote katika nchi: iwe ni mafuriko, matetemeko, vimbunga, katiba ya nchi, magonjwa, uchumi, maendeleo nk.

4. Hapo #3, changamoto za ajali barabarani, corona, umeme nchini, bungeni kwenye sera, serikalini kwenye maamuzi, mafuriko (rufiji, jangwani, mto msimbazi, nk), tabiri za hali ya hewa, mwendo kasi, vivuko, mabadiliko ya tabia nchi, madini, gesi, mafuta, nk; vyuo vikuu haviwezi kuwekwa pembeni.

5. Vyuo vikuu vimekuwa ni chachu ya mabidiliko kote duniani.

6. Yaliyotikisa China Tianamen Square (1989), kuporomoka kwa zilizokuwa dola za ki communist duniani, kimbembe Cha Arab spring (Medani ya Tahrir na Hosni Mubarak, Misri huko ni mfano wake), Massacre za Sharpeville SA (1990), kuanguka kwa strong man wa ufilipino Fernando Marcos (Snr), nk; mstari wa mbele walikuwa wasomi vyuo vikuu jambo ambalo: CHADEMA waneshindwa kujifunza!

7. Mchango wa migomo ya wanafunzi kwenye nchi zenye kujitambua hauwezi kudogoshwa:

a) Kupatikana mfumo wa vyama vingi kenya.
b) Kupatikana kwa katiba ya haki Kenya.
c) Kupatikana Kwa mfumo wa vyama vingi Tanzania.
d) hatimaye kuanzishwa kwa mfumo wa "boom" Kwa wanafunzi nchi nzima,
e) Maslahi ya wahadhili kuboreshwa, nao kuanza kushirikishwa serikalini kwenye maamuzi na hata bungeni huko.
f) Utaratibu wa uwakilishi kwenye shughuli za vijana duniani kuwashirikisha pia wasomi vyuo vikuu kwa haki dhidi ya uliokuwapo uliokuwa umejaa ufisadi na nepotism za ma zealots (chawa) wa CCM na uvccm (rejea Pyongyang 1987).
g) kuachiwa kwa madaktari kutoka gerezani "ukonga" 1990; kung'oka kwa "untouchable meya" KK Dar Jiji; kupambana na fyongo nyingi za awamu ya pili.
h) nk.

8(a). Hapo #7, Kenya chachu ya mabadiliko imekuwa, vinara siku zote ni University of Nairobi; wakati kwa Tanzania vinara ilikuwa ni UDSM campus ya mlimani. Rais Mwinyi katu hakuwahi kuipenda UDSM mlimani, akiita kumtusi matusi ya nguoni ilhali hai ndiyo walikuwa Wana vipenzi jeuri wa kuhoji akiwataka JKN siku zote.

8(b) Nyerere alikuwa akifika kwa hotuba masomo yalisimama si kwa ratiba za chuo, bali Kwa mahaba niuwe yaliyokuwapo na kuhimiza kwake vijana kuwa jeuri kweli kweli!

View attachment 2977150
Students march on Columbia University campus in support of a protest encampment supporting Palestinians, despite a 2 pm deadline issued by university officials to disband or face suspension, in New York City, on April 29, 2024

9. Kufukuzwa, kukamatwa, kutekwa na hata kuuwawa Kwa wanafunzi kwenye harakati za mabadiliko makubwa ni jambo la kawaida kwenye nchi na vyuo vyenye kujitambua:

View attachment 2977151
A pro-Palestinian protester is taken away by police at the University of Texas in Austin, Texas, on April 29, 2024
10. Hapo #9, palikuwa na wanafunzi wa University ya Nairobi walioikimbia serikali ya Kenya katika kupigania haki wakapata hifadhi Tanzania na kuendelea na masomo. UDSM mlimani. Katika testimonies zao:

"University of Nairobi kwenye student baraza, traitor alijulikana Kwa kutokuwa na ndoo ya mawe wakishangaa UDSM kuwa kama wachumba tu, hata enzi hizo za miaka ya 1990s kiulinganifu:

View attachment 2977152

11. (a) Hapo #9 walitekwa nyara viongozi wa wanafunzi udsm jijini Dar, kwenye kizungumkuti cha ufisadi na nepotism mkutano wa kimataifa Pyongyang.

(b) Kina Mwakyembe, Migiro nk walitinga bungeni na serikalini ukiwa mwanzo wa wasomi tuwaonao leo kuwapo kwenye nyanja nyeti za maamuzi; kabla ya hapo nyuma, huko ilikuwa mahsusi kwa ma zealots (chawa) tu aina ya kina mnyamwezi na kipikipiki.

(c) Na Mengi ya ahueni tuyaonayo Leo. Izingatiwe kabla ya harakati nyingi hizi hata ma VC, CACO, CADO hawakuwa maprofesa.

CACO - chief academic officer
CADO - chief administrative officer.

Leo wakiitwa DVCs academic na administration.

(d) nk nk

Izingatiwe: mafanikio haya hayakupatikana kupitia mezani yaani maridhiano style Wala haikuwa rahisi!

12. Uwepo wa makachero wa serikali na maofisa usalama kama tiss ya kwetu kwenye vyuo vikuu ili ku shape siasa na kusimika watu wao, kwenye serikali za wanafunzi, nk; kwenye nchi zenya demokrasia kandamizi ni jambo la kawaida.

13. Hapo #9 kina Warioba, Mwabulambo, Garang, Museveni, Kikwette, nk waliokuwa kwenye serikali za wanafunzi na wakaja kuufuma urais, si kwa ajali!

14. (a) Hapo #9, kina Lt. Eugene Maganga na wenzake wakiwa wanafunzi UDSM - mlimani, walikamatwa kwenye njama za jaribio ya mapinduzi ya nchi miaka ya 1980s.

(b) Palikuwa wanafunzi kadhaa wa UDSM Mlimani waliokuwa mashahid muhimu wa jamhuri i kwenye kesi hiyo ya njama hizo za mapinduzi ya akina Lugangira na Capt. Hatty MacGhee.

15. Mlimani ni kizazi kipi chenye kujitambua kilichosoma pale bila kufukuzwa, kusimamishwa shule, wengine kufutiwa ufadhili, misukosuko na polisi, nk; kwenye madai yaliyofikia kwenye maslahi ya taifa kutokea kwenye mambo madogo kama ubovu wa chakula, maji au malazi tu?

View attachment 2977163
Cornell announces more suspensions over Gaza war encampment

Martha Pollack, the President of Cornell University in the state of New York, says the university will suspend more students after they refuse to relocate a Gaza war protest encampment.

16. Marekani inapita sasa kama Tanzania ya miaka ya 1990 na kabla ya UDSM mlimani halisi ya akina Matiko Matare, Bazigiza, Haroun Kimaro, nk iliyopelekea matukio konki kama ilivyoelezwa hapo #7 na tulipo twala matunda pasi na kujua maumivu yaliyo wasibu mashujaa hao:

(a) kuja kwa mfumo wa vyama vingi.

(b) kuachiwa kwa madaktari waliokuwa wameshikiliwa gerezani ukonga; kwenye sekeseke la Mwinyi, Isambe na kanda bongoman.

NB: Si kuwa serikali ya CCM ilipenda kuwaachia madaktari hawa kutoka gerezani au hata kuleta mfumo wa vyama vingi kwa kupenda au kuwa ilifanya kwa hiari.

c) kuongezwa Kwa maslahi ya wahadhili vilivyo na kujumuishwa kwao serikali na sehemu za nyeti za mamuzi; hii ikiwa baada ya wanafunzi na walimu kuungana vilivyo Tahrir, 1990.

(I)Bahati mbaya baadhi ya waliofika kwenye ngazi za maamuzi wakayatelekeza ya yaliyokuwa maono ya harakati hizi. Wao kama kunguru wa Nuhu alipotumwa kuona kama gharika imeisha, kuiona mizoga imetapakaa Kila mahali, arudi safinani kwenye njaa kufanya nini?

(Ii) Dhahiri ikawa Tena mwenye shine hamjui mwenye njaa, ikawa "Not yet Uhuru.'

(d) Kwenye kutekwa nyara Kwa wanafunzi waliokwenda Pyongyang baada ya kufichua iliyokwenda kuwa kashfa kubwa ya aibu ya ufisadi na nepotism CCM; majina mazito mazito ya vigogo na watoto wao yalitajwa, nchi ikatikisika!

17. Serikali makini haiwezi kucheza mbali na vyuo vikuu. Huhakisha kuna utulivu wa kutosha vyuoni kisiasa na ki maslahi. Lengo likiwa kuvidhibiti vyuo vilivyo; ambapo inafahamika hilo si kwa maguvu ya musuli, bali akili kwa akili kubwa.

18. Hapo #18, nabii jiwe aliyekuwa UDSM miaka ya 1990 bila shaka naye akiisakata hii ngoma, aliijua hilo vyema Ikumbukwe kipindi chake alihakikisha hakuna migomo vyuoni kwa kuwanyima sababu. Mikopo na mahitaji yao yalikuwa siku zote ni kipaumbele. Mtu alitumbuliwa mara moja na bila huruma kwa kujaribu kuwakwaza washupavu hao kwa lolote vyuoni huko!

View attachment 2977155

Tense standoff at University of Texas in Austin following student arrests

This is a standoff. We have Austin police and state troopers who are keeping a line here preventing these student protesters from getting any closer to the building where (the police) had been holding those dozens….

19. Ukweli mchungu, kucheza na vyuo vikuu ni sawa na kucheza na moto (jeshi,).

View attachment 2977378

20. Joe Biden amelikanyaga:

View attachment 2977380

Na kwa Hakika: "halita mwacha salama!"

1. Hujasikia kuwa taifa limesheheni vijana wa hovyo?

2. Vijana wa hovyo wasiokuwa na ujasiri wa kuhoji, ni kama panya tu, "walioloa." Vijana kama hao wanafikaje huko kabla ya kuwafurusha walio feki vyamani?

3. Angalia kwenye uzi huu kuwaona vijana hao walio mzigo kwa taifa:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

4. Wanachojua ni kusifu na kushukuru Watu au vyama ambao kwao hao ni malaika au vyama vimetoka mbinguni na yale mambo yetu ya Simba, yanga, arsenal, Chelsea na Simba mtu wa tandale.

5. Ninamalizia ki research kuhusu CHADEMA, CCM na kwanini kutamalaki uchawa huu ambao kwa hakika ni laana!

6. Zingatia chawa ni chawa tu, bila kujali wa nini au nani. Tofauti zao ni majina , yaani kama MK254, @lucas_Mwashambwa, imhotep, au Mzee Kigogo Juma au John Nk. "Ila wote kabisa maji ga nyanja!" -- JKN.

7. Ndiyo maana huwezi kuwaona hapa hata uwaitishe kwa hela!

Hiiiiiii .. iii bagosha! Kwa hakika wanatatiza mabadiliko!

Cc: Zawadini, Elli na waungwana mliobakia.
Kuna siku nilisema na naendelea kusema. Ni university tu ndio tunategema mkusanyiko mkubwa wa critical thinkers na wasomi wa hali ya juu, hivyo ndivyo ilivyo kwenye vyuo vikuu vya wenzetu. Wanafunzi wanabeba ideologies za maprofessor nguli na kuwa assimilated na hawa ndio wanakuwa change agent. Sasa jiulize unaweza kuwa assimilated au kubeba ideology ya professor ambaye anasema for his entire life ya chuo kikuu , more than 25 years kama mkuu wa idara alikuwa anakaa jalalani? Kwa kweli nilisikika sana
 
Back
Top Bottom