deNavigator
Member
- Sep 22, 2018
- 49
- 63
Natamani kuona CHADEMA ambayo hata ikikumbana na mitikisiko, watu wanatafuta suluhu ndani kwa ndani bila kuvurugana wala bila kurudisha harakati nyuma sabab watu ambao kwakawaida huondoka chadema husababisha kupotea kwa credibility ya chama na kurudisha nyuma harakati za chama.
Mimi ni kada wa chama kikuu. Ila napenda na navutiwa sana na uwepo wa siasa zenye ushindani.
Yani kiufupi naona kunakua na weredi thabiti ikiwa Upinzani watakua imara, Kwasababu kivyovyote vile utimamu wa upinzani huongeza umakini kwa chama tawala na vyama vingine pia.
Tkka nimeanza kufatilia siasa japo paryially naona upinzani wana nafasi kubwa sana na potentiality kubwa ya kukua ila sasa hua wanayumbishwa na jambo dogo sana na wao hawajaweza kushtuka kulitibu ili kuwawezesha kusonga mbele.
Nikiangalia kila mara chadema wanapofikia sehem ya kuwa imara sana. Huwa wanakubari shetani aingie na kuwavuruga kiasi cha kujipotezea credibility kwa watanzania na ukuaji wa chama kiujumla.
Nafikilia hii migongano iliyo waondoa akina zito, kitila mkumbo, mollel , msigwa, Dr. Slaa na sasa tu ashuhudia watu wengine wengi aidha wakiondoka au wakijiweka pembeni na active movements za chama. Kama akina Mbkwe.
At most watu wanao achiliwa chadema wanaenda na kugeuka tunu vyama vingine ikiwepo CCM.
Mfano. Mwita Waitara, Juliana shonza, kitila Mkumbo na Godwin Mollel, mr. Katambi akina Kafulila na wengine kibao. Wanaenda kufanya kazi nzuri sana ya kuimarisha chama cha mapinduzi wakiacha CHADEMA inadidimia.
Yawezekana wapo wanaohama kwa maslahi binafsi ila kiukweli swala la wanasiasa kuvihama vyama vyao kufuatia migongano, ulegevu wa itikadi na matatizo ya kimfumo wa vyama husika ninjambo linaturudisha nyuma sana.
CHAMA TAWALA IMARA INAPASWA KIKABILIANE NA CHAMA CHA UPINZANI IMARA KABISA.