Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Comments reserved
Timu inalipwa ndio, lakini gamondi mkataba wake unaisha mwishoni mwa msimu maana alisaini yanga mkataba wa mwaka mmoja.Nje ya mara: hivi kocha akiwa na mkataba na tImu,akitaka kuondoka,kuvunja mkataba,tImu inalipwa??
yeapTimu inalipwa ndio, lakini gamondi mkataba wake unaisha mwishoni mwa msimu maana alisaini yanga mkataba wa mwaka mmoja.
Hapa kama ni nyoka umemchapa kichwani kabisa sidhani kama atarudia tena kuleta kisebusebu hapa jamvini..Gamondi yupi huyo? Huyu huyu uliyekuwa unamuanzishia nyuzi zaidi ya tano kumponda kuwa ni kocha mbovu na ligi kuu hatochukua au ni yupi?
Kuhusu furaha kuwa na mipango, viongozi wanajua kuliko wewe na ndio maana kila baya ulilotabiri kuhusu Yanga na Gamondi ukafeli. Alikuwa na Nabi na akaondoka kwa mafanikio na wengi walijua kuondoka kwa Nabi Yanga haitopata replacement yake na Yanga itaporomoka lakini viongozi wakafanya scouting iliyo sahihi wakamleta kocha aliyeifanya Yanga itambulike katika soka la Africa na kubeba kombe la ligi kuu huku FA akitetea.
Huyu kocha si ulikuwa na wasiwasi nae ukasema hafai? Mpira hauwezi kafuatile marede.....
wapi nimemkubali?? kaizer ni mid table teamHuyu kocha si ulikuwa na wasiwasi nae ukasema hafai? Mpira hauwezi kafuatile marede.....
1. back to reality. viongozi ni kama mimi na wewe. amna anything special about them. tena they could be worse.Gamondi yupi huyo? Huyu huyu uliyekuwa unamuanzishia nyuzi zaidi ya tano kumponda kuwa ni kocha mbovu na ligi kuu hatochukua au ni yupi?
Kuhusu furaha kuwa na mipango, viongozi wanajua kuliko wewe na ndio maana kila baya ulilotabiri kuhusu Yanga na Gamondi ukafeli. Alikuwepo Nabi na akaondoka kwa mafanikio na wengi walijua kuondoka kwa Nabi Yanga haitopata replacement yake na Yanga itaporomoka lakini viongozi wakafanya scouting iliyo sahihi wakamleta kocha aliyeifanya Yanga itambulike katika soka la Africa na kubeba kombe la ligi kuu huku FA akitetea.
i didnt change my stanceHuyu kocha si ulikuwa na wasiwasi nae ukasema hafai? Mpira hauwezi kafuatile marede.....
1. back to reality. viongozi ni kama mimi na wewe. amna anything special about them. tena they could be worse.
2. gamondi is not in my top 5 . kaizer is a mid table team. not even in champions league
Kaizer na 5imba nani zaidi kwa akili yako?wapi nimemkubali?? kaizer ni mid table team