Miguel Gamondi kwenda Kaizer Chiefs?

Miguel Gamondi kwenda Kaizer Chiefs?

Furaha iwe na mipango.

===

Kaizer Chiefs are set to announce new coach and two signings on Wednesday?

On Monday, a statement indicating that Kaizer Chiefs will unveil a new coach and players on Wednesday appeared on the club’s official website.

“Kaizer Chiefs MD Kaizer Motaung says the search for a new coach is over and that the new man, along with two other international signings, will be unveiled at a media conference on Wednesday,” a statement without a date read on the PSL heavyweights’ website.

gamondi hawezi kurudi sauz tena
 
Vipi ligi kachukua au hakuchukua? Si ulitabiri hatochukua ligi?
Vipi klabu bingwa hatua ya robo fainali kacheza au hakucheza? Si ulitabiri Yanga itabuluza mkia kwenye kundi?

Kwahiyo Kaizer chief kuwa ni mid table kunaifanya wasijue makocha wazuri? Si ndio hawa hawa walikuwa wanamtaka Nabi alipokuwa Yanga ila walichoshindwana ni kuwa Nabi alitaka aende na benchi lake lote.

Gamondi hayupo kwenye top 5 yako, wewe ni nani? Nani anayekujua katika ulimwengu wa soka? Unamiliki timu gani? Au ni mchambuzi wa kituo gani kinachotambulika Africa? au unafundisha timu gani tukuone una akuli ya mpira kuliko hao Kaizer? Yaani upo zako hauna mbele wala nyuma katika mpira wa miguu halafu unaleta ngebe kujifanya unajua kuliko Kaizer chief.
[emoji23][emoji23] dah.
 
Vipi ligi kachukua au hakuchukua? Si ulitabiri hatochukua ligi?
Vipi klabu bingwa hatua ya robo fainali kacheza au hakucheza? Si ulitabiri Yanga itabuluza mkia kwenye kundi?

Kwahiyo Kaizer chief kuwa ni mid table kunaifanya wasijue makocha wazuri? Si ndio hawa hawa walikuwa wanamtaka Nabi alipokuwa Yanga ila walichoshindwana ni kuwa Nabi alitaka aende na benchi lake lote.

Gamondi hayupo kwenye top 5 yako, wewe ni nani? Nani anayekujua katika ulimwengu wa soka? Unamiliki timu gani? Au ni mchambuzi wa kituo gani kinachotambulika Africa? au unafundisha timu gani tukuone una akili ya mpira kuliko hao Kaizer? Yaani upo zako hauna mbele wala nyuma katika mpira wa miguu halafu unaleta ngebe kujifanya unajua kuliko Kaizer chief.
Ametuliza mat*ko yake kwenye kiti Cha plastiki anataipu upuuzi tu
 
Furaha iwe na mipango.

===

Kaizer Chiefs are set to announce new coach and two signings on Wednesday?

On Monday, a statement indicating that Kaizer Chiefs will unveil a new coach and players on Wednesday appeared on the club’s official website.

“Kaizer Chiefs MD Kaizer Motaung says the search for a new coach is over and that the new man, along with two other international signings, will be unveiled at a media conference on Wednesday,” a statement without a date read on the PSL heavyweights’ website.

Ningekuwa wewe, nisingeanzisha huu uzi maana ni kujidhalilisha

Vipi ligi kachukua au hakuchukua? Si ulitabiri hatochukua ligi?
Vipi klabu bingwa hatua ya robo fainali kacheza au hakucheza? Si ulitabiri Yanga itabuluza mkia kwenye kundi?

Kwahiyo Kaizer chief kuwa ni mid table kunaifanya wasijue makocha wazuri? Si ndio hawa hawa walikuwa wanamtaka Nabi alipokuwa Yanga ila walichoshindwana ni kuwa Nabi alitaka aende na benchi lake lote.

Gamondi hayupo kwenye top 5 yako, wewe ni nani? Nani anayekujua katika ulimwengu wa soka? Unamiliki timu gani? Au ni mchambuzi wa kituo gani kinachotambulika Africa? au unafundisha timu gani tukuone una akili ya mpira kuliko hao Kaizer? Yaani upo zako hauna mbele wala nyuma katika mpira wa miguu halafu unaleta ngebe kujifanya unajua kuliko Kaizer chief.
1. tunalazimishana kumkubali gamondi. i still hold my stance on gamondi.

2. kaizer chiefs aura is long lost. they mostly play confederation cup.

3.kaizer is not the old kaizer. they don't compete in highest level for 3 years.

league tittle since 2015.
 
Kwani ulisikia Gamondi anashida ya kukubalika hadi na wajinga na wapumbavu kama wewe? Ungekuwa mzima kichwani usingethubutu hata kuleta nyuzi za kutakiwa na timu fulani kwa jinsi ulivyoleta nyuzi humu mfululizo za kuonesha Yanga haitopata mafanikio chini ya Gamondi na ulitamani afukuzwe.
 
Vipi ligi kachukua au hakuchukua? Si ulitabiri hatochukua ligi?
Vipi klabu bingwa hatua ya robo fainali kacheza au hakucheza? Si ulitabiri Yanga itabuluza mkia kwenye kundi?

Kwahiyo Kaizer chief kuwa ni mid table kunaifanya wasijue makocha wazuri? Si ndio hawa hawa walikuwa wanamtaka Nabi alipokuwa Yanga ila walichoshindwana ni kuwa Nabi alitaka aende na benchi lake lote.

Gamondi hayupo kwenye top 5 yako, wewe ni nani? Nani anayekujua katika ulimwengu wa soka? Unamiliki timu gani? Au ni mchambuzi wa kituo gani kinachotambulika Africa? au unafundisha timu gani tukuone una akili ya mpira kuliko hao Kaizer? Yaani upo zako hauna mbele wala nyuma katika mpira wa miguu halafu unaleta ngebe kujifanya unajua kuliko Kaizer chief.
Safi kabisa
 
1. back to reality. viongozi ni kama mimi na wewe. amna anything special about them. tena they could be worse.

2. gamondi is not in my top 5 . kaizer is a mid table team. not even in champions league
Haya basi Keizer Chief watamchukua Mgunda ufurahi.
1715652662779.jpg

Simba baada ya Mgunda kuchukua Timu.
 
1. back to reality. viongozi ni kama mimi na wewe. amna anything special about them. tena they could be worse.

2. gamondi is not in my top 5 . kaizer is a mid table team. not even in champions league
Hahahahaha..mbumbumbu ni mbumbumbu tu .unajionesha mwenyewe kwa post zako
 
Furaha iwe na mipango.

===

Kaizer Chiefs are set to announce new coach and two signings on Wednesday?

On Monday, a statement indicating that Kaizer Chiefs will unveil a new coach and players on Wednesday appeared on the club’s official website.

“Kaizer Chiefs MD Kaizer Motaung says the search for a new coach is over and that the new man, along with two other international signings, will be unveiled at a media conference on Wednesday,” a statement without a date read on the PSL heavyweights’ website.

Today is Wednesday what is your say about Gamond
 
1. back to reality. viongozi ni kama mimi na wewe. amna anything special about them. tena they could be worse.

2. gamondi is not in my top 5 . kaizer is a mid table team. not even in champions league
Ujuaji mwiiingi na kakingereza kako. Forum hii inatumia kiswahili 99.9% halafu wewe unajidai ni familia ya Malkia wa England.
Anyway hivi unatoka Kagera sehemu gani pale.
So far wewe unajisikiaje kuona mafanikio ya Gamondi tofauti na RAMLI YAKO ULIYOPIGA
 
1. back to reality. viongozi ni kama mimi na wewe. amna anything special about them. tena they could be worse.

2. gamondi is not in my top 5 . kaizer is a mid table team. not even in champions league
Who the f**k are u to diss Gamondi. You don't even know where your backside is let alone football.
 
Back
Top Bottom