Miguno yake ilifanya nimtongoze na kumchakata

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Siku ya jumanne niliamua kuokoka na kuacha uovu wote, jana nikiwa njiani kutoka kazini nikasimamishwa na mdada aliyekuwa anaelekea uelekeo ninao elekea akaomba nikamwache sehemu fulani, basi akaingia tukaanza safari, kwakuwa nimeokoka sikutaka kumpigisha story.

Yeye alikuwa anachati, kuna sehemu bodaboda akani-overtake na kupita mbele yangu bila tahadhari hivyo nikalazimika kushika breki ghafla sasa yule dada akatoa mguno ambao ulibadili kabisa mawazo yangu (ssss.... aaaaah).

Aisee huwezi amini ilibidi nichukue namba yake nikamwacha pale aliponiambia nimwache. Jioni nikaomba tukutane bahati nzuri hakuwa na makuu tukakutana na kunyanduana.

My take: Dhambi ina nguvu kuliko sisi. Bila Mungu kutusaidia kwakweli tutapotea.
 
Siku ya jumanne niliamua kuokoka na kuacha uovu wote, jana nikiwa njiani kutoka kazini nikasimamishwa na mdada aliyekuwa anaelekea uelekeo ninao elekea akaomba nikamwache sehemu fulani, basi akaingia tukaanza safari, kwakuwa
Ushaamini yale maneno ya wale wanaosema kuokoka kwenye haya maisha ya damu na nyama ni ngumu sana?
Endelea na wokovu kiongozi.
 

Story mbovu haina nyama
 
Umehitimisha vzr sana
 
hadithi za pauka pakawa leo zipo nyingi nadhani ni kwa sababu leo ni ijumaa mwisho wa wiki ya kazi!!!!!
 
Umeanguka tena kusimama ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…