Miguno yake ilifanya nimtongoze na kumchakata

Siku ya jumanne niliamua kuokoka na kuacha uovu wote, jana nikiwa njiani kutoka kazini nikasimamishwa na mdada aliyekuwa anaelekea uelekeo ninao elekea akaomba nikamwache sehemu fulani, basi akaingia tukaanza safari, kwakuwa nimeokoka sikutaka kumpigisha story.

Yeye alikuwa anachati, kuna sehemu bodaboda akani-overtake na kupita mbele yangu bila tahadhari hivyo nikalazimika kushika breki ghafla sasa yule dada akatoa mguno ambao ulibadili kabisa mawazo yangu (ssss.... aaaaah).

Aisee huwezi amini ilibidi nichukue namba yake nikamwacha pale aliponiambia nimwache. Jioni nikaomba tukutane bahati nzuri hakuwa na makuu tukakutana na kunyanduana.

My take: Dhambi ina nguvu kuliko sisi. Bila Mungu kutusaidia kwakweli tutapotea.
Vp miguno kwa bed, mitamu pia?
 
Mkuu SITAKIIIIIIII mafuta 3000/L sahivi
😅😅😅😅 Yatashuka bei sana mafuta, ukita mla manzi unamuachia Hill dude lenye 3.5L kwa Town kola saa lazima aje kuchukua hela ya wese, na wewe kola akija Chukua wese unamtafuna
 
Siku ya jumanne niliamua kuokoka na kuacha uovu wote, jana nikiwa njiani kutoka kazini nikasimamishwa na mdada aliyekuwa anaelekea uelekeo ninao elekea akaomba nikamwache sehemu fulani, basi akaingia tukaanza safari, kwakuwa nimeokoka sikutaka kumpigisha story.

Yeye alikuwa anachati, kuna sehemu bodaboda akani-overtake na kupita mbele yangu bila tahadhari hivyo nikalazimika kushika breki ghafla sasa yule dada akatoa mguno ambao ulibadili kabisa mawazo yangu (ssss.... aaaaah).

Aisee huwezi amini ilibidi nichukue namba yake nikamwacha pale aliponiambia nimwache. Jioni nikaomba tukutane bahati nzuri hakuwa na makuu tukakutana na kunyanduana.

My take: Dhambi ina nguvu kuliko sisi. Bila Mungu kutusaidia kwakweli tutapotea.
Siku hiyo hiyo moja?
 
Ushaamini yale maneno ya wale wanaosema kuokoka kwenye haya maisha ya damu na nyama ni ngumu sana?
Endelea na wokovu kiongozi.
Kuokoa ni ngumu lakini tujitahidi kadri ya uwezo wetu tusiwe vijana/watu wa hovyo.
 
Back
Top Bottom