Mkuu
Unanipa quotes za Wazungu walioandika negatively about African tribes miaka ya 1930’s?
Mzungu ni nani? Unamjuaje huyu mzungu na huyu si mzungu? Mimi napinga validity ya makabila, halafu unanipinga kwa kutumia habari za mzungu, define mzungu ni nani, objectively.
Habari haikuandikwa 1930s, iliandikwa kuhusu kabila lililoanzishwa 1930s.
Habari haikuandikwa negatively, iliandika fact, kama unabisha, toa ushahidi kwamba si kweli, kwamba kabila hilo halipo.
Nikae hapa nimuamini huyo mzungu?
Respectfully,not to me!
Mzungu ni nani? Unajuaje huyu mzungu na huyu si mzungu?
Nashindwa kukuelewa,unabisha members wa kabila fulani hawana biological relationships of some sort?
Of course unashindwa kunielewa, we are not on the same wavelength.
Sijasema popote kwamba members wa kabila fulani hawana biological relationship ya aina fulani. Hilo la kwanza, uelewe.
Ninachokwambia ni kwamba, habari za makabila ni arbitrary, hazina formula, hazina misingi ya scientific fact.
Ndiyo maana wengine wanarithi kabila kwa baba (Wachaga, Wasukuma), wengine wanarithi kabila kwa mama (Wamakua, Wayao).
Pia, katika kabila, wanaorithi kabila kwa baba, ambao ndio wengi, hawana hata uhakika huyo baba ni baba wa kibaiolojia. Kuna watu wengi wanalelewa na baba Msukuma kwa mfano, baba anajua huyu mtoto wangu, mtoto anajua huyu baba yangu Msukuma, na mimi Msukuma, kumbe mama anajua baba halisi wa kibaiolojia ni Muhaya.
Mtoto analelewa kama Muskuma, anajijua yeye Msukuma, dunia inamjua Msukuma, kumbe baba yake Muhaya.
Hapo tayari unaona jinsi suala la kabila linavyoweza kuwa social kuliko biological.
Zaidi, siku hizi watu wanaoana makabila tofauti. Nimetoa mfano wa Mkapa hapo. yeye Mmakua, mkewe Mchaga, Wamakua wanachukua kabila kwa Mama, Wachaga wanachukua kabila kwa Baba.
Watoto wa Mkapa ni kabila gani?
Ukisema Wamakua, si sawa. Wamakua wanachukua kabila kwa mama. Mama si Mmakua.
Ukisema Wachaga, si sawa. Wachaga wanachukua kabila kwa baba, baba si Mchaga.
Sasa, watoto wa Mkapa wale kina Stephan na Nico ni kabila gani?
Mkapa kakataa kuwapa makabila, kasema wale ni Watanzania, kwanza hata kilugha cha huko umakuani au Uchagani hawajui.
Kumbuka hili ni group la watu linalo share ancestors miaka na miaka,eti leo wasiwe na biological connection of some sort?
Wapi nimesema kwamba hawana biological connections? Mbona hujaelewa nililoandika?
Nimesema kwamba, kabila ni a social construct, not a biological one. That does not mean kwenye kabila hakuna biological connections, but that does not alos mean that an individual is biologically identifiable with a tribe. Unaweza kusema huyu Mchaga kwa sababu baba yake Mchaga, ukaja kugundua kwa DNA test kwamba huyo anayedaiwa kuwa ni baba yake hata si baba yake biologically.
Nyerere aliongelea hili akasema Wazanaki wameamua urithi uwe unatoka kwa mjomba, mjomba ni kaka yake na mama, watu wameona mjomba na mama wamezaliwa tumbo moja, mjomba akifariki mali zake zinaenda kwa mtoto aliyezaliwa tumboni mwa dada yake ambaye walizaliwa tumbo moja. Hapo watu wame establish connection.
Mkapa na wanga wengine,know nothing about biology,siwezi msikiliza!
Sasa wewe unayelazimisha kwamba kabila, ambalo mainly linakuwa transmitted kutoka kwa baba, bila hata ya DNA verification ya nani ni baba wa kibaiolojia, ni jambo la kibaiolojia, ndiye unayejua baiolojia?
Mimi natoka Moshi,tarafa nzima karibu ni ukoo mmoja halafu eti uniambie hatueshei some DNA markers?
Nigga plzzzz!
Wapi nimesema hilo? Au you illiterate?