Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Sorryumekosea kuniquote mzee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],mim i ni dume la mbegu linalopiga bao nne kwenda juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorryumekosea kuniquote mzee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],mim i ni dume la mbegu linalopiga bao nne kwenda juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa unalazimisha.
Mimi nimekupenda zaidi.Babu kiranga [emoji847] nimekupenda eti
MkuuHapo sasa unalazimisha.
By the way, suala zima la makabila ni social construct tu.
There is nothing inherent about tribes
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu smart unapigaje mwanamke vile?!!..tuache uongo wakati mwengine!!!..jama angekua na maconnection hayo angeenda mwananchi Digital?...jamaa mnampa sifa sanaHuyu jamaa hana undugu na jaji mihayo.
Huyu ni mnyamwezi wa Tabora na Black American. Ana uraia wa marekani sababu Baba yake marehemu alikuwa ni African American. Dogo kapiga shule Mtoni na yuko super smart kichwani. Ana maadili pia ya kiafrika na heshima na mtu wa watu sana hajisikii.
Yuko njema cribs tatu nne za maana, Mandinga ndio kama yote ya maana halagu janki mdogo. Ana proffessional network ya kufa mtu duniani. Yukovizuri Us embassy inamtambua na inampa fursa sana kama kijana smart
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kitabu chake "The Fate of Africa: From The Hopes of Freedom To The Heart of Despair. A History of 50 Years of Independence" muandishi maarufu wa mambo ya Africa, Martin Meredith anatoa mfano wa kabila moja la Zambia. Aliwaukiza watu, kqbila lenu historia yake ni ipi? Mmetokea wapi? Chifu wenu kapatikana vipi?Mkuu
Kabila ni mkusanyiko wa watu mostly walikua wanashea ancestors kwa intermarriages kwa muda mrefu
Makabila ya Tanzania,changa kabisa lina miaka 400.
Biological traits lazima zigawanywe...
Wapare,Wahaya,etc wamekaa na kujamiiana kwa miaka zaidi ya 800 leo unasema hawana biological relations?
Unafeli mzee.
Hahaha
Kitu kikubwa mkeo unamchagua vizuri, unamkaza vizuri, unamhonga vizuri, unampeti peti vizuri, kiasi anakuwa haoni wala hasikii mwingine.
Ukishaweza hilo, unatulia naye, mnalea watoto.
Hapo hata akikukosea kidogo tu mwenyewe anajirudi hata kabla hujasema kitu.
Ile mwanamme umetua nyumbani tu mwenyewe anaanza kuomba msamaha kabla hujamsema.
Yani anaanza kujishukushuku mwenyewe, Baba Kwani mboona hivyo leo? Jana hukupenda nilivyopika? Au perfume yangu ya leo inakukera?
Ukitoka hapo unambusu, unaenda kumpiga kwa mguu wa tatu chumbani kuanzia kitandani mpaka mnaangushana kwenye floor huko San Salvador.
Hivyo ndivyo mwanamke anavyopigwa.
Si kwa ngumi na makofi.
Wewe tukana tu, wont be your first time anyways wala usinisingizie mimi kukusababishia.“Mwezi Mchanga”?
Really?Umefika kua na profanities namna hii eee?
Ukitukanwa nje ndani utaanza kuniita sio mstaarabu,ila wewe kuharisha sawa?!
Mama ni swali uliulizwa,jee unaona ni haki kama wanaume,watoto na everybody wanapigwa wakikosea ila sio “mwanamke”?
Ulivojaa ubaguzi ukasema hii ni “wanawake” tu,wasipigwee!Haya wasipigwe,jee unaona sawa wengine wapigwe?Hutaki kujibu unajaza ushindani usio na maana!
Nyie madada wa mjini wa kushinda Hyatt na vi-Macbook Air vyenu uongo na kweli kusoma email na insta,wote lazima muachike mamaeeee
Mnazungusha matako mjini mno!
I feel sorry for my nigga Wilmore!
Mkuu kwa exposure yake ni ajabu sana kupiga mwanamke. Sijui anajifikiriaje kufanya hivi iwapo angekuwa huko mbele!!!Huyu jamaa hana undugu na jaji mihayo.
Huyu ni mnyamwezi wa Tabora na Black American. Ana uraia wa marekani sababu Baba yake marehemu alikuwa ni African American. Dogo kapiga shule Mtoni na yuko super smart kichwani. Ana maadili pia ya kiafrika na heshima na mtu wa watu sana hajisikii.
Yuko njema cribs tatu nne za maana, Mandinga ndio kama yote ya maana halagu janki mdogo. Ana proffessional network ya kufa mtu duniani. Yukovizuri Us embassy inamtambua na inampa fursa sana kama kijana smart
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue tunaweza kuwa labeled kirahisi kwamba wote tunapiga wanawake.Mzee naona unatoa punch line za kutosha
Wewe tukana tu, wont be your first time anyways wala usinisingizie mimi kukusababishia.
Ngoja tu nikuelimishe; post yangu uliyoiquote ilikuwa inaijibu hii hapa chini ambayo haikuzungumzia kupigwa kwa wanaume wala watoto:
"Unaongelea kupigwa mbele ya watoto wake tu?Ongelea pia demu/mke kurudi usiku wa manane akiwa bwax huku akshushwa kwenye gari na mchepuko wake na watoto wake wakiona.
Mzee baba ulibugi big tym kuoa demu anaeshinda pale hyatt anachokifanya hata hakieleweki,ila kwny kichapo nakupa kongole nyingi saana."
Ushauri wangu kwako ni kupunguza jazba, soma kwanza kabla hujamuattack mtu.
Katika kitabu chake "The Fate of Africa: From The Hopes of Freedom To The Heart of Despair. A History of 50 Years of Independence" muandishi maarufu wa mambo ya Africa, Martin Meredith anatoa mfano wa kabila moja la Zambia. Aliwaukiza watu, kqbila lenu historia yake ni ipi? Mmetokea wapi? Chifu wenu kapatikana vipi?
Akaambiwa kabila letu limewekwa na Waingereza. Kulikuwa na ugomvi na majirani zetu hapa, wakaja Waingereza, wakasema kuanzia sasa nyinyi ni kabila jipya, eneo lenu hili, Chifu wenu huyu.
Hiyo ni miaka ya 1930s kama nakumbuka vizuri hii habari.
Kabila limeanzishwa watu wanaliona.
Huku kwetu ukisoma makabika yalivyozunguka utaona jinsi watu walivyojiweka na kuwekwa uChifu kifigisu (Chifu Burito, Chifu Mirambo). Utaona makabila yalivyozunguka.
Zaidi, bika ya DNA tets hujui hata kama anayesemwa baba wa mtoto ndiye baba hakika, sasa hapo kabika utalijuaje kibaiolojia?
Kama huna uhakika wa baba kibaiolojia, utajuaje kabila kibaiolojia?
Rais Mkapa katika kitabu chake kioya "My Life, My Purpose: A Tanzanian President Remembers" anasema watoto wake baba yao Mmakua, mama yao Mchaga, wao Watanzania waliokulia Dar, Canada, Marekani na Nigeria.
Sasa hapo watu wanaoa makabila tofauti na kukuza watoto dunia nzima.
Bado utasema kuna kabika biological?
Kabila gani? Umakua au Uchaga?
Wamakua wanafuata kabila na jina kwa mama.
Wachaga wanafuata kwa baba.
Hapi huoni kwamba kabila ni kitu arbitrary tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue exposure ni kama moto.Mkuu kwa exposure yake ni ajabu sana kupiga mwanamke. Sijui anajifikiriaje kufanya hivi iwapo angekuwa huko mbele!!!
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]Wanawake tuna huruma sana kama nawe una mke.
Mkuu
Unanipa quotes za Wazungu walioandika negatively about African tribes miaka ya 1930’s?
Nikae hapa nimuamini huyo mzungu?
Respectfully,not to me!
Nashindwa kukuelewa,unabisha members wa kabila fulani hawana biological relationships of some sort?
Kumbuka hili ni group la watu linalo share ancestors miaka na miaka,eti leo wasiwe na biological connection of some sort?
Mkapa na wanga wengine,know nothing about biology,siwezi msikiliza!
Mimi natoka Moshi,tarafa nzima karibu ni ukoo mmoja halafu eti uniambie hatueshei some DNA markers?
Nigga plzzzz!
😅😅
pumbavuuu na huyo binti ningemuunganisha na mama ake wote vibao pumbavuuu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app